wingatereza
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,347
- 1,744
Nisiwe mnafiki, we ni miongoni ila umenifikirisha sana kwa quotation za bible. Nimegundua how smart you are.Najua unanisema mie aiseeeee....[emoji20] [emoji20]
Nisiwe mnafiki, we ni miongoni ila umenifikirisha sana kwa quotation za bible. Nimegundua how smart you are.Najua unanisema mie aiseeeee....[emoji20] [emoji20]
Nisamehe bure mkuu, ujue maisha yanavuruga sana huku kitaa, na jinsi vyuma vikivyo kaza.... Basi najikuta najipoza na K-Vaa kubwa, na kisha inanilegezea ufahamu... tehteehhhNisiwe mnafiki, we ni miongoni ila umenifikirisha sana kwa quotation za bible. Nimegundua how smart you are.
Mkuu usiongee hivo bana sio fresh, mimi naamini Mungu atafanya jamboNilishaumwa sana kaka. Maisha yangu yamekuwa ya mateso mno hapa Duniani, Nikapumzike tu.
Niliambiwa nikipatiwa good medication naweza kuishi hadi miezi nane. Lakini matibabu ni gharama kubwa na sihitaji msaada niko Kwenye critical stage na napata maumivu makali sana. Nahisi ni vema nife nipumzike.
Last seen ni May 14folk unaendeleaje mkuu