Tenda ka TB Joshua na kumwamini yesu utapona, pole sanaRipoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)
Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?
Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.
Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.
Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu
Bye bye Mother earth.
Pole ndugu. yakabidhi Maisha yako tangu sasa kwa Muumba, sasa jali Maisha yajayo.Niliambiwa nikipatiwa good medication naweza kuishi hadi miezi nane. Lakini matibabu ni gharama kubwa na sihitaji msaada niko Kwenye critical stage na napata maumivu makali sana. Nahisi ni vema nife nipumzike.
Naamini kijana bado yupo hai, maana forum inaonyesha ame access hiki kijiwe siku ya leo.Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)
Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?
Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.
Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.
Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu
Bye bye Mother earth.
Mungu mkubwaNaamini kijana bado yupo hai, maana forum inaonyesha ame access hiki kijiwe siku ya leo.
Keep fighting solder!!
View attachment 837767
Na iwe hivoMungu mkubwa
AminaNa iwe hivo
Nawaza hapa kama Mshkaji amerithisha USERNAME na PASSWORD yake ili in case of his absence, mrithi aje kutupasha!Amina
Naamini kijana bado yupo hai, maana forum inaonyesha ame access hiki kijiwe siku ya leo.
Keep fighting solder!!
View attachment 837767
Aisee kila nikiupitia huu Uzi nz kuusoma huu ugonjwa basi namkumbuka mshkaji wangu kipenzi ambaye wiki 4 zilizopita nilienda DSM kwa ajili ya mambo yangu na baada ya kufanya yangu nikasema ngoja nikamsalimie mshkaji ofisini kwake maana nilikuwa na muda sijawasiliana nae,Dah baada ya kufika naambiwa mshkaji alishazikwa toka 10 Feb mwaka huu kutokana na Cancer ya Ini aisee niliingiwa na ganzi maana kila nikivuta kumbukumbu namuona mshkaji alivyokuwa strong vya kutosha na kamwe hakuwahi kusumbuliwa na magonjwa ya ajabu ajabu but ukweli ukabaki kuwa mshkaji alishafariki and no more stories about him.Yaa Allah tunusuru na Adhabu ziumizazo Yaarabbi.
Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)
Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?
Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.
Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.
Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu
Bye bye Mother earth.
Hii last seen yako ndio ya ukweli ya kwenye app inadanganya na haioneshi sahihi yenyewe inaonyesha muda mmoja kwa kila mtu.View attachment 837794
Mie kwangu last seen inaonyesha hivyo Mkuu. Tumia Browser ndio utaona muda sahihi wa yeye kuperuzi jf hiyo App sijui Tapatalk huwa kwa kila mtu inaonyesha muda ambao upo saa hiyo.
AmenMungu muweza wa yote ndio kila kitu hapa Duniani,Kama ungali hai endeleeea kumtukuza Mungu hata mwisho wa uhai wako,pia Kama hatupo nawe Pumzika Kwa Amani ndugu yetu FOLk.
Alijaribu kupima tb maana na mimi ilikuwa hivyo ila ilikuja kugundulika ni Tb nikaanza dawa nikamaliza nimepona sasaiviMkuu ni dakari tiba?au upo ktk sekta ya AFYA? Kama ndivyo naomba nisaidie dawa ya kuponyesha kifua. Kuna mtu wangu anaumwa kifua cha makohozi yaani akiponi huwa kinapungua tuu kiasi kwamba ameona kama ni maisha yake. Kama kuna dawa inayoendana na hayo maelezo nisaidie.