ellyrehema
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 1,197
- 1,023
Daaaah same to me[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Folk kama upo jitokezd mkuu maana natokwa na machozi ninapokumbuka hali yako...kama umetangulia PUMZIKA KWA AMANI NDUGU,MUNGU MUUMBA AKUONEE HURUMA.
kwa kweli mkuuAseee kuna watu unaweza jiuliza kuwa huyu ni binadamu wa kawaida au mzazi kanyaaa tuu![emoji15] [emoji15] [emoji15]
Watu tuko serious hapa jitu linaongea umavi mavi tuu
utaamia kwnye ibada nayo itakusaidia kwenda peponi yaan me naona faida nyingi za kujua siku yako ya kufa kulioko kutokujuaHilo bata utalila kweli au unacheza na kifo wewe...bia haishuki, mb.o.o haisimami[emoji15] [emoji15]
Hiyo ni kansa ya kongosho.Ikoje mkuu?[emoji24] [emoji24] [emoji86]
Ooooh ndo hiyo imemuondoa Aretha? My God!Hiyo ni kansa ya kongosho.
Naona Huko marekani leo Gwiji la Muziki Wa Soul amefariki kwa kansa ya kongosho.
Toa ujinga wako hapaNjoo ufaidike kwenye group letu. Join na telegram hapa ili ijiingizie kipato cha haraka.
Elly:
Elly:
Elly:
Please help me to send this link to all contacts and groups you have
Business Exchange Zone
Elly:
Telegram – a new era of messaging
Kama hauna app ya telegram click link hiyo [emoji115]kudownload
Kwakua nafsi yako tayari imejuta na kuomba radhi........ Ukweli umekua mwema na mwanamke wa mfano machoni mwangu, kama alivyo fanya Abigaili kwa ushujaa mkubwa.Siku kaleta uzi wake nakumbuka tulikuwa tunajibizana nae why sikumuomba namba yake hata kwa kumbembeleza pm?! Poor witie I feel guilty![emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji86] [emoji86]
La maana hapo ni ile bora uhamie ibadani miezi yote minne ni nonstop mpaka Sir God akuonee hata huruma! Lakini eti kula bata? Hell no!utaamia kwnye ibada nayo itakusaidia kwenda peponi yaan me naona faida nyingi za kujua siku yako ya kufa kulioko kutokujua
Asante mkuu...kuanzia leo namuombea apate pumziko la milele!Kwakua nafsi yako tayari imejuta na kuomba radhi........ Ukweli umekua mwema na mwanamke wa mfano machoni mwangu, kama alivyo fanya Abigaili kwa ushujaa mkubwa.
Mkuu, Mungu wetu ni mwema na mzuri sana..... kwakua hauja pata tu nafasi ya kuonana ama kuwasiliana na folk lakini ninaamini hata yeye huko alipo atakua amekusamehe
lakin kifo bhna chenyewe ni kipo tu ujue usijue utakufa tu nadhan jamaa ata asingeambiwa na dokta bado angekufa tu,,huu ni kweli mchungu hata sisi tutakufa tu siku si nyingi hata kama hatujaambiwa na doktaLa maana hapo ni ile bora uhamie ibadani miezi yote minne ni nonstop mpaka Sir God akuonee hata huruma! Lakini eti kula bata? Hell no!
Unaweza kusema ngoja nile bata miezi miwili na ile miezi mingine miwili nishinde ibadani ukafa kabla ya hiyo miezi ya ibada usicheze na Mungu chief!
Hii kansa pia ndio ilimuondoa steve jobs dahhh!Hiyo ni kansa ya kongosho.
Naona Huko marekani leo Gwiji la Muziki Wa Soul amefariki kwa kansa ya kongosho.
Mungu akuongoze mkuu....Asante mkuu...kuanzia leo namuombea apate pumziko la milele!
Hilo namuahidi!
We jamaa unawezaje leta hii kitu yako kwa thread yetu ya majonzi kama hii? Huna roho ya ubinadamu kabisa. Kavune wanachama huko kwingine mkuuNjoo ufaidike kwenye group letu. Join na telegram hapa ili ijiingizie kipato cha haraka.
Elly:
Elly:
Elly:
Please help me to send this link to all contacts and groups you have
Business Exchange Zone
Elly:
Telegram – a new era of messaging
Kama hauna app ya telegram click link hiyo [emoji115]kudownload
Yes...ukishajua kitu fulani upende usipende lazima kikupate huna ujanja ndugu!lakin kifo bhna chenyewe ni kipo tu ujue usijue utakufa tu nadhan jamaa ata asingeambiwa na dokta bado angekufa tu,,huu ni kweli mchungu hata sisi tutakufa tu siku si nyingi hata kama hatujaambiwa na dokta
Steve jobs mzee wa [emoji519] ..mbona jamaa yangu yuko mbele anasema uhakika ni Luku ndo ilimuondoa!Hii kansa pia ndio ilimuondoa steve jobs dahhh!
mimi nikifa saa iv mungu atachanganyikiwa asijue pa kunipeleka kati ya pepon au motoni maana sili bata wa sifanyi ibada nipo nipo tu kama mkoroshoYes...ukishajua kitu fulani upende usipende lazima kikupate huna ujanja ndugu!
Wewe now ni unatakiwa kuwa nusu...bata nusu na ibada nusu! Utaenjoy life mnoo!
mfukuze kabisa,hawa ndo wanauza kondomu msibaniToa ujinga wako hapa