Haaha haaha we nae!...ataangalia rohoni kwako umebeba amri zake au unazingua tu! [emoji23] [emoji23] [emoji23]mimi nikifa saa iv mungu atachanganyikiwa asijue pa kunipeleka kati ya pepon au motoni maana sili bata wa sifanyi ibada nipo nipo tu kama mkorosho
Ha ha hamfukuze kabisa,hawa ndo wanauza kondomu msibani
Nini kiini chake?Hiyo pia ilimwondoa yule boss wa Apple,
Yaani ile hats uwe na pesa kama mchanga,ikiingia imeingia
Amen mkuu[emoji120] [emoji120]Mungu akuongoze mkuu....
Wewe motoni tu mzee babamimi nikifa saa iv mungu atachanganyikiwa asijue pa kunipeleka kati ya pepon au motoni maana sili bata wa sifanyi ibada nipo nipo tu kama mkorosho
Kwani kuna ubaya mtu kuuza condom msibani ? Si anawalinda.mfukuze kabisa,hawa ndo wanauza kondomu msibani
Niandikie meseji kwenye hiyo namba niliyoitoa halafu nikupigie ili nikuelekeze.Mkuu ni dakari tiba?au upo ktk sekta ya AFYA? Kama ndivyo naomba nisaidie dawa ya kuponyesha kifua. Kuna mtu wangu anaumwa kifua cha makohozi yaani akiponi huwa kinapungua tuu kiasi kwamba ameona kama ni maisha yake. Kama kuna dawa inayoendana na hayo maelezo nisaidie.
Wit me naumwa njoo unione plzAaah afadhali....hivi hakusema anaishi wapi hata mtu tumtembelee....yaan hapa mi nalia tuu asee[emoji24] [emoji24] [emoji86]
Mkuu huwa una akili sana ukiachaga pombe za kienyeji. Umeongea sense moja makini mno.Yale Yale MTU anaomba msaada Wa matibabu watu hawatoi hata shilingi 10 akifa wanakuja na rambirambi za mamilioni.
Alipokuwa anateseka humu hatukuona habari za kuomba mualiko walau akaonwe na kumjulia hali. Leo "Inasadikika" kaaga dunia watu wamechachamaa wanataka walau wapajue hata alipokuwa anaishi. Silaumu MTU ila tuacheni unafiki.
Tubadirikeni kuna watu wanakujaga humu kuomba misaada watu wanatoa majibu kana kwamba wao wana hati miliki ya kutopata shida au kufa. Tuwe na moyo Wa utu. Sisi sote ni nyama ya aridhi haijalishi ni tajiri au masikini, mrembo au mbaya, n.k
Kama mwenzetu umefariki Nakuombea upumzike Salama, na kama hujafa kansa hii itakuwa inakuendesha, mungu akufanyie wepesi unayakabili matatizo yanayokusibu.
Soma post za nyuma kidogo utaelewa vizuri kwamba jamaa kapotea muda mrefu saana.Mbona yupo online adi leo
Kwani JF inaishia hapa hapa duniani? Mbinguni haifiki?Mbona yupo online adi leo
Me nime muona online sio mda apo au mawenge yanguSoma post za nyuma kidogo utaelewa vizuri kwamba jamaa kapotea muda mrefu saana.
Unaumwa nini?Wit me naumwa njoo unione plz
JF bwana. Burudani japo kwenye masuala kama haya inasikitishaKwani JF inaishia hapa hapa duniani? Mbinguni haifiki?