Jamaa ameenda bablai,kuna post yake{ukiangalia ktk profile yake utaona ana post mbili tu}sasa ile ya mwanzo kuna sehem alijieleza kidogo anavyojaribu kuishi na watu.hakika ameacha legacy kubwa sana kwa jamii iliyomzunguka.Daah! aisee kamanda folk ndio ameenda
Kwa leo naomba nikupuuze kwasababu sijaona huko PM penye tumewasiliana mimi na member yeyote humu jf.Mkuu, Wewe ndio unapaswa kuwa na akili timamu na kuacha kiherehere cha kujifanya msemaji wa familia na kusambaza picha ya folk huko PM, haipendezi na kwa vile hata yeye hakufanya hivi, heshimu haki yake ya usiri, ametupa mipaka ya kumfahamu tuliheshimu hili.
Punguza kimberembere mkuu.
Shemeji naiomba na mimi.Nami nitumie mamii.
Binti, inakuaje na unafaidika na lipi kwa kumtuhumu mchangiaji kisa tu katoa maoni yake kwa uhuru....[emoji53] [emoji53]Halafu wewe ndiye chanzo cha ujinga wa kuanika picha na utambulisho wa marehemu. Alipoanzisha hiyo thread angekuwa na nia ya kujitambulisha si angekuwa ameshafanya hivyo? Huyu rafiki yako ulikuwa unampenda kwa unafiki!
Usitoe maelezo mengi USHIMEN karibia member wengi walitaka kufahamu kama folk amefariki au laah.Kwa leo naomba nikupuuze kwasababu sijaona huko PM penye tumewasiliana mimi na member yeyote humu jf.
Na inanisikitisha sana unapo nituhumu kama kuna binti mnanigombania.
Alafu......
Katika maisha kuna vitu havikwepeki, yaani linapokuja swala la kifo hapa kila mmoja anapata hofu na hali ya kuogofya.
Binafsi sija confirm lolote kuhusu kifo ama uhai wa folk. Na unapo jisemesha kwa kutaka kuonekana mtu bora... ohhhppppssss naomba nikupe tu pole
Ebu angalia user name yako...Ndio maana nimemkemea bila kupepesa macho. Hana adabu! Sijui limbukeni?
Mkuu, hawa vijana humu wanakera sana.Usitoe maelezo mengi USHIMEN karibia member wengi walitaka kufahamu kama folk amefariki au laah.
So iweje wewe kusema inawezekana ikawa yeye iwe kosa, kuwa na amani wengi wetu tumekuelewa na tumeshukuru tumejua hatma ya mwenzetu iliishia vipi.
Ingia Pm nimekupa njia ya kupata taarifa zake zaidi.Mwenye picha yake anitumie,
witnessj:
Kwamimi nilie kuelewa vyema unetumia neno (inasemekana alifariki June 27), lakini kuna watakao kuja na kukushambulia kwamba umedisclose details za mleta thread.....inasemekana alifariki tangu june 27, si ndio tunalia leo
Kama ni yeye ilikuwa tarehe 22 usiku na alizikwa Kibaha.inasemekana alifariki tangu june 27, si ndio tunalia leo
Hii ni kutaka sifa ama dhihaka.....Km bado hajafa mimi najitolea shilingi milioni mbili (2,000,000) kwa ajili ya kumnunulia jeneza la almasi
Exactly mkuu,kwa taarifa hizi na taarifa nilizozipitia binafsi sina shaka na hapana shaka kwamba ndugu yetu folk ameshalala ktk usingizi wake wa milele.Kama ni yeye ilikuwa tarehe 22 usiku na alizikwa Kibaha.
Kama ana akili timamu na anajitambua ni lazima atatafakari na kulifanyia kazi hili,pia mkuu bado mtoto mchanga huyu tutoto twa 2000's.Ebu angalia user name yako...
Then kagua avatar yako...
Kisha ilinganishe na Gender....
Ukipata jibu, ndipo ukuje ujilinganishe adabu yako na yangu Gad'dem it.....[emoji16] [emoji16]
Sawa tumesikia,ila M.Mungu akusamehe!!.Km bado hajafa mimi najitolea shilingi milioni mbili (2,000,000) kwa ajili ya kumnunulia jeneza la almasi
Naunga mkono hojaKama ana akili timamu na anajitambua ni lazima atatafakari na kulifanyia kazi hili,pia mkuu bado mtoto mchanga huyu tutoto twa 2000's.
Mkuu kajiunga juzi humu huyu hana hata miezi sita anadhan yupo kwenye group la shule,achana nae!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji86] [emoji86]Naomba ushikilie adabu yako binti.
Wapi umeona picha ya mleta mada...[emoji53]
Kwa kumuita folk (marehemu), umepewa rukhsa na nani....[emoji45] [emoji45]
Ebu naomba ujiheshimu tafadhali, kikubwa tumia akili yako ya kuzaliwa na elimu yako ulioipata darasani na mtaani ili iweze kukuongoza vyema