Namsifu Ushimen kwa hekima zake tangu mwanzo wa uzi huu, amekuwa na busara sana kwenye coments zake.Exactly mkuu,kwa taarifa hizi na taarifa nilizozipitia binafsi sina shaka na hapana shaka kwamba ndugu yetu folk ameshalala ktk usingizi wake wa milele.
Kuna mtu huko juu anapiga piga kelele kwamba tunasemaje mtu kafa au tunatoaje taarifa za mtu alizokataa kuzitoa mwenyewe toka akiwa hai,huyu jamaa hakuwahi{ukifuatilia post zake}hakuwahi kukwaruzana na mtu humu,hakuwahi kupost ujinga ujinga humu sasa mtu kama huyu kuna ubaya gani taarifa zake zikawekwa hapa?
Ifahamike kwamba yeyote yule akiishavuruga uwepo wake mahali japo ni kwa fake id,kama humu kuanzisha thread za ajabu ajabu au kukwaruzana na watu hovyo ni lazima atataka siku akiondoka yeye basi taarifa zake zifichwe,jiheshim mbele ya jamii utaheshimika na utapendwa na hata wasiyokujua.
RIP folk
Mkuu, hapa naona vijana wana andika upupu kwa kutoa tuhuma ambazo hawana uwezo hata wakuzijengea hoja na wakaeleweka.Exactly mkuu,kwa taarifa hizi na taarifa nilizozipitia binafsi sina shaka na hapana shaka kwamba ndugu yetu folk ameshalala ktk usingizi wake wa milele.
Kuna mtu huko juu anapiga piga kelele kwamba tunasemaje mtu kafa au tunatoaje taarifa za mtu alizokataa kuzitoa mwenyewe toka akiwa hai,huyu jamaa hakuwahi{ukifuatilia post zake}hakuwahi kukwaruzana na mtu humu,hakuwahi kupost ujinga ujinga humu sasa mtu kama huyu kuna ubaya gani taarifa zake zikawekwa hapa?
Ifahamike kwamba yeyote yule akiishavuruga uwepo wake mahali japo ni kwa fake id,kama humu kuanzisha thread za ajabu ajabu au kukwaruzana na watu hovyo ni lazima atataka siku akiondoka yeye basi taarifa zake zifichwe,jiheshim mbele ya jamii utaheshimika na utapendwa na hata wasiyokujua.
RIP folk
Well said[emoji122] [emoji122] [emoji122]Usitoe maelezo mengi USHIMEN karibia member wengi walitaka kufahamu kama folk amefariki au laah.
So iweje wewe kusema inawezekana ikawa yeye iwe kosa, kuwa na amani wengi wetu tumekuelewa na tumeshukuru tumejua hatma ya mwenzetu iliishia vipi.
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Exactly mkuu,kwa taarifa hizi na taarifa nilizozipitia binafsi sina shaka na hapana shaka kwamba ndugu yetu folk ameshalala ktk usingizi wake wa milele.
Kuna mtu huko juu anapiga piga kelele kwamba tunasemaje mtu kafa au tunatoaje taarifa za mtu alizokataa kuzitoa mwenyewe toka akiwa hai,huyu jamaa hakuwahi{ukifuatilia post zake}hakuwahi kukwaruzana na mtu humu,hakuwahi kupost ujinga ujinga humu sasa mtu kama huyu kuna ubaya gani taarifa zake zikawekwa hapa?
Ifahamike kwamba yeyote yule akiishavuruga uwepo wake mahali japo ni kwa fake id,kama humu kuanzisha thread za ajabu ajabu au kukwaruzana na watu hovyo ni lazima atataka siku akiondoka yeye basi taarifa zake zifichwe,jiheshim mbele ya jamii utaheshimika na utapendwa na hata wasiyokujua.
RIP folk
Ina lillahi waina illaihi rajiuniMitayari nimezipata info zake, jamaa zake pia nimewasiliana nao na hata picha zake nimezipata mkuu....
Na inasemekena jamaa alikata pumzi huku akiwa mwenye tabasamu, na waliokua karibu nae wanasema nikama alikua mwenye amani na tayari alimrudia Mungu wake
Mkuu nami ninaomba picha tagadhaliDone!
Ujinga ndiyo unakusumbua. Unakimbizana na habari za marehemu utafikiria umegundua dhahabu! Idiot!Mpuuzi mkubwa wewe, kima mnyea mbali....
Umewahi kuniona huko panapoitwa PM....[emoji53] [emoji16] [emoji16]
Gad'dem maza fanta shuubbhhaaamittttt
Kwa hiyo hizi habari umezitoa kutoka kwenye makalio yako siyo? Idiot!Kwamimi nilie kuelewa vyema unetumia neno (inasemekana alifariki June 27), lakini kuna watakao kuja na kukushambulia kwamba umedisclose details za mleta thread.....
Na bahati mbaya utashangaa hao watakao kutuhumu wakiandika kwamba (marehemu hakupenda habari zake zijulikane).... Na chaajabu zaidi ni wanakutuhumu kwamba umeleta habari pasipo uhakika ama kujifanya msemaji wa familia, wakati huo watakua wamesha jisahau kwamba wanamuita folk (marehemu) ilhali hawaja thibitisha
HIVI WATU WA JAMII FORUM MNAJIFUNZA KITU KWERI! JAMANI TUSIPO JIFUNZA NA HATA HILI BASI TENA!Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)
Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?
Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.
Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.
Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu
Bye bye Mother earth.
Amina mkuu naamini huyu marehem Mungu amemuweka sehem salama sana.Lingine humu miaka hii kumekuwa na watoto wengi hekima hawana wanaandika bila kutafakari,wengi wetu hapa tunaandika tukijibizana ila hatujui sometimes tunaweza kuwa tunajibizana na watu ambao ktk maisha halisi tunawaheshimu sana mf:wajomba zetu,mama zetu wadogo baba zetu wadogo etc.Namsifu Ushimen kwa hekima zake tangu mwanzo wa uzi huu, amekuwa na busara sana kwenye coments zake.
Nakumbuka mwanzo kulikuwa na lugha za ajabu sana...
Tumwachie Mungu maana ndiye muweza wa yote
Sasa kama wewe siyo mjinga wa mwisho unasema ''inasemekana'' halafu unasema unayo picha yake na uko tayari kumpelekea mtu kwenye PM! Huoni akili zako ni kama utumbo wa bata!Mkuu, hawa vijana humu wanakera sana.
Tena niliweka wazi kile nilicho kipata, na nikasema wazi kwamba INAWEZEKANA ikawa ni yeye ama sie.....
Hapo napata tuhuma na kushambuliwa na hawa vijana wasio jielewa
Achana nayo hayo majitu majinga jinga,yanakurupuka kama mabwege.Mpuuzi mkubwa wewe, kima mnyea mbali....
Umewahi kuniona huko panapoitwa PM....[emoji53] [emoji16] [emoji16]
Gad'dem maza fanta shuubbhhaaamittttt
Ndo hivyo mkuu,jamaa alilalamikia maumivu akiisubiri siku ifike,hakika inaumiza sana.ni faraja pia kwetu kujua mwenzetu amepumzika sasa.[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Mbona kama unajiaibisha braza?Kwa hiyo hizi habari umezitoa kutoka kwenye makalio yako siyo? Idiot!
Wit mbona unapenda kuutesa ivo moyo wangu jamany,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ...mbona unakimbilia pm?
Nielekeze hapa hapa unaishi wapi ntakuja ndotoni haaahaaa
Mkuu macho_mdiliko tuache basi kulumbana kwenye uzi wa mtu hata huyu mwenye uzi wake angekuwa na uwezo wa kuja hapa sidhani kama angependezwa kuona unamtukana mtu hivyo kitu ambacho hakuwahi kukiandika hapa tena upo ktk thread aliyoianzisha yeye inayohusu matatizo yake.Sasa kama wewe siyo mjinga wa mwisho unasema ''inasemekana'' halafu unasema unayo picha yake na uko tayari kumpelekea mtu kwenye PM! Huoni akili zako ni kama utumbo wa bata!
Daaah jamani ......haya maisha looooh!Ndo hivyo mkuu,jamaa alilalamikia maumivu akiisubiri siku ifike,hakika inaumiza sana.ni faraja pia kwetu kujua mwenzetu amepumzika sasa.
Kuna picha yake moja nimeiona,anajaribu kutabasam japo kwa maumivu makali akiwa kalala kitandani,ni huzuni Mungu tu anajua.