Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
Bob yule CEO wa Kenya na yeye alijua kuwa atakufa next month akawaomba safaricom wachague successor wa kurithi Kazi yake mapema na kweli akafa fasta.
 

Kichuguu, hivi yule dada machachari aitwaye Mwafrika wa Kike aliishia wapi?
Nilikuwa nawasoma sana enzi za Jamboforums
 
Hakuna Anae weza kukuambia au kujua utakufa lini katika dunia hii hayupo hata kama huamini uwepo wa Mungu.
 
Nenda mwana kwenda umavumbi wewe na mavumbini umerudi,
Umeondoka kijana, umeondoka mwanaume
Umeondoka kiongozi, Umeondoka tegemezi
Familia na ndugu zako wanakukumbuka
Hata sisi member wenzako JF tunakukumbuka sana
Naamini unatuona na taarifa zote unazipata ni mwili tu ndio hauna lakini kiroho upamoja nasi.
Pumzika kwa Amani,pumzika kwa amani milele
 
Mkuu Kansa mara nyingi iko hivyo ikisha fika Stage 4 hakuna namna tena, ndo ile Hata mahospitali unakuta unaambiwa mrudusheni tu mgonjwa nyumbani au kana nyumbani ni mbali na hamtakuwa na gharama za kusafirisha Maiti basi mnaambiwa anaweza anza safari mapema.

Kansa ni mbaya sana
Huyu ni binadamu wa kwanza namuona live anapata nafasi ya kuaga ndugu jamaa na marafiki i wish nijue nafa lini na mimi RIP huko ulipo nasi tupo njiani
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…