Nimeamini Kinachopiganiwa Gaza Ni Mafuta Na Gas

Ndio maana kuna vita so wacha iendelee waliofiwa na wazazi wapigane na wao wapotee tu sawa sawa...umenena yako visasi visasi hadi viishe.. vita zote zinaishiaa same.
Basi sawa,
"O Allah, aid our vulnerable brothers and sisters in Gaza and Palestine (repeated three times) and in all places, O Most Merciful of the Merciful. Take them by their hand, protect them, be gentle with them, and suppress deceit. Grant them Your protection against aggressors, and remove harm, oppression, and all adversity—both apparent and hidden. Be gentle with them, in safety and well-being, by Your mercy, O Most Merciful.
 
Hamas alijichanganganya. Hakujua nini kipo kichwani mwan Bibi. Sidhani hata kama ile two state solution itatajwa tena ktk meza ya mazungumzo.
Netanyahu ana kashfa ya kuiwezesha Hamas makusudi ili aweze kufanya anachofanya with impunity.

Aliwapa ama kuwakubalia Hamas wapokee millions maybe even billion dollars especially kutoka Qatar. Wakazitumi kujenga mahandaki na ku smuggle weapons. Pia kujenga majumba ya viongozi nk.

Hata mipango ya Hamas ilifanywa kupuuziwa mithili ya ile kashfa ya sept. 11 2011 ya Bush na Bin Laden kuachiwa walipuwe twin towers etc. Ili tu Bush avamie middle east with impunity kama alivyoenda Iraq na kuzugia Afghanistan.
 
Am less concerned....mtoa Uzi ameleta mada yake huku akijiondoa kwenye ishu za kidini.
Achana na propaganda zisizo na kichwa wala miguu,eti insu za kidini.kama ni huo udini mbona Tanzania kuna Waislam na wakristo mbona hamjawahi kupigana??
kuna nchi mamia na Maria Duniani zina mchanganyiko wa WAKRISTO na Muslims mbona hawapigani?
 
Nimeeleza kwa hoja, kuanzia ugunduzi wa gas pale Gaza strip hadi wanaanza ujenzi wa miundombinu kufaidika na gas yao wananchi wa Gaza, Israel inakuja kuzuia ujenzi kwa kusema hio gas inabidi ielekee bandari ya Israel, hapo kuna udini gani> hapo Iran anaingiaje?

Nimeeleza kwa hoja chokochoko za US kutaka kumtoa Assad kwa vigezo vya demokrasia, mbona Saudi Arabia wana uongozi wa kurithishana? kuna democracy? nimeeleza mambo ya nord stream, hapo dini inaingiaje? hapo Iran inaingiaje? Nimetoka hapo nikafananisha na kinachotokea hivi sasa hapo Gaza.

Kama tatizo ni dini, basi tatizo ni kwa Israel.

By the way, unaweza kusoma pia kwanini Iran na USA waliingia uadui, utagundua, fuatlia vita isyoisha Congo utagundua, fuatilia kwanini Muammar Gaddafi aliuawa utagundua....
 
Hili la Misri kuwa anaendesha vita sina uhakika ingawaje sipingi
Ila hapo kwamba mateka wapo kwao hili sio kweli mateka wapo hapo hapo ghaza ila israhell imeshindwa kuwakomboa
Huko kwengine kiukweli sijakuelewa
 

Sio kweli juzi tu hapa tumeona paka anasema hata kama watapewa mateka bado vita itaendelea
Au hukusiakia?
 
Mkuu ni wapi Trump amesema akiingia atasitisha vita Ukraine? Umesikiliza ule mdahalo baina yake na Biden kuhusu mgogoro wa Ukraine na kutoa support Israel?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…