Nimeamini Kinachopiganiwa Gaza Ni Mafuta Na Gas

Nimeamini Kinachopiganiwa Gaza Ni Mafuta Na Gas

Bring them Home...


1721160785523.png

Is no more
 
Ndio maana kuna vita so wacha iendelee waliofiwa na wazazi wapigane na wao wapotee tu sawa sawa...umenena yako visasi visasi hadi viishe.. vita zote zinaishiaa same.
Basi sawa,
"O Allah, aid our vulnerable brothers and sisters in Gaza and Palestine (repeated three times) and in all places, O Most Merciful of the Merciful. Take them by their hand, protect them, be gentle with them, and suppress deceit. Grant them Your protection against aggressors, and remove harm, oppression, and all adversity—both apparent and hidden. Be gentle with them, in safety and well-being, by Your mercy, O Most Merciful.
 
Hamas alijichanganganya. Hakujua nini kipo kichwani mwan Bibi. Sidhani hata kama ile two state solution itatajwa tena ktk meza ya mazungumzo.
Netanyahu ana kashfa ya kuiwezesha Hamas makusudi ili aweze kufanya anachofanya with impunity.

Aliwapa ama kuwakubalia Hamas wapokee millions maybe even billion dollars especially kutoka Qatar. Wakazitumi kujenga mahandaki na ku smuggle weapons. Pia kujenga majumba ya viongozi nk.

Hata mipango ya Hamas ilifanywa kupuuziwa mithili ya ile kashfa ya sept. 11 2011 ya Bush na Bin Laden kuachiwa walipuwe twin towers etc. Ili tu Bush avamie middle east with impunity kama alivyoenda Iraq na kuzugia Afghanistan.
 
Am less concerned....mtoa Uzi ameleta mada yake huku akijiondoa kwenye ishu za kidini.
Achana na propaganda zisizo na kichwa wala miguu,eti insu za kidini.kama ni huo udini mbona Tanzania kuna Waislam na wakristo mbona hamjawahi kupigana??
kuna nchi mamia na Maria Duniani zina mchanganyiko wa WAKRISTO na Muslims mbona hawapigani?
 
Andiko zuri sana, lakini wote humu tumeshihudia kilichotokea, tumeona kwa macho yetu, ni kweli dunia huwa inafake matukio ili kufanikisha tukio fulani, lakini kwa hili la Gaza tuachane na hadithi za kutunga uongo kuufanya ukweli, ukweli kuufanya uongo. Sababu inayofanywa vita iendelee huko Gaza ni 1. Dini 2. Iran. Kwa mazingira hayo Israel hana chaguo lingine mbali na kuhakikisha Gaza inarudi nyuma miaka 50 na kutoa funzo kwa Hamas. Israel alishasema siku hamas wakiachia mateka siku hiyo hiyo vita itasitishwa. Wao waendelee kushikilia hao mateka lakini wapalestina watalipa gharama kubwa sana, sasa hizi hadithi za mafuta hazina mashiko 1% . Shida ni moja Hamas wanataka kulazimisha Israel ikubali matakwa yao na wakati hawana uwezo wa kulinda eneo la Gaza.
Nimeeleza kwa hoja, kuanzia ugunduzi wa gas pale Gaza strip hadi wanaanza ujenzi wa miundombinu kufaidika na gas yao wananchi wa Gaza, Israel inakuja kuzuia ujenzi kwa kusema hio gas inabidi ielekee bandari ya Israel, hapo kuna udini gani> hapo Iran anaingiaje?

Nimeeleza kwa hoja chokochoko za US kutaka kumtoa Assad kwa vigezo vya demokrasia, mbona Saudi Arabia wana uongozi wa kurithishana? kuna democracy? nimeeleza mambo ya nord stream, hapo dini inaingiaje? hapo Iran inaingiaje? Nimetoka hapo nikafananisha na kinachotokea hivi sasa hapo Gaza.

Kama tatizo ni dini, basi tatizo ni kwa Israel.

By the way, unaweza kusoma pia kwanini Iran na USA waliingia uadui, utagundua, fuatlia vita isyoisha Congo utagundua, fuatilia kwanini Muammar Gaddafi aliuawa utagundua....
 
Inawezekana Misri ndie anaendesha vita hii.. yaani hata wakimbizi hawataki hata kuwasikia.. Gazan hawaaminiki pengine... au asili ya arabs wa Gaza ni Misri pia am sure hata mateka wengi wapo upande wa Misri.

Issue ya Israel kwa yeyote Ardhi ni mali ya Waisrael.. and tokea Israel adai uhuru ktoka kwa Uingeleza arabs populations hawakudai huo uhuru and ndio wanadai ni pao pote maeneo ya Westbank judea and samaria kulikuwa na jews ambao walikuwepo karne zote na arabs walifanikiwa kuwa genocide wote wa upande wao...

And mapatano yote ya UN Arabs waliyakataa tokea walipotengenishwa and vita ya kuangamiza Jews ilianza na kusndwa vibaya kwa arabs sasa price ya kutaka kuua ni kupewa zawadi? kwa ardhi ya bab yao MNabii Musa aliyopewa na Allah.. kuchange History kwa lazima ni jambo gumu kwa Wazungu ndio maana washangazwa...
Hili la Misri kuwa anaendesha vita sina uhakika ingawaje sipingi
Ila hapo kwamba mateka wapo kwao hili sio kweli mateka wapo hapo hapo ghaza ila israhell imeshindwa kuwakomboa
Huko kwengine kiukweli sijakuelewa
 
Andiko zuri sana, lakini wote humu tumeshihudia kilichotokea, tumeona kwa macho yetu, ni kweli dunia huwa inafake matukio ili kufanikisha tukio fulani, lakini kwa hili la Gaza tuachane na hadithi za kutunga uongo kuufanya ukweli, ukweli kuufanya uongo. Sababu inayofanywa vita iendelee huko Gaza ni 1. Dini 2. Iran. Kwa mazingira hayo Israel hana chaguo lingine mbali na kuhakikisha Gaza inarudi nyuma miaka 50 na kutoa funzo kwa Hamas. Israel alishasema siku hamas wakiachia mateka siku hiyo hiyo vita itasitishwa. Wao waendelee kushikilia hao mateka lakini wapalestina wat

Andiko zuri sana, lakini wote humu tumeshihudia kilichotokea, tumeona kwa macho yetu, ni kweli dunia huwa inafake matukio ili kufanikisha tukio fulani, lakini kwa hili la Gaza tuachane na hadithi za kutunga uongo kuufanya ukweli, ukweli kuufanya uongo. Sababu inayofanywa vita iendelee huko Gaza ni 1. Dini 2. Iran. Kwa mazingira hayo Israel hana chaguo lingine mbali na kuhakikisha Gaza inarudi nyuma miaka 50 na kutoa funzo kwa Hamas. Israel alishasema siku hamas wakiachia mateka siku hiyo hiyo vita itasitishwa. Wao waendelee kushikilia hao mateka lakini wapalestina watalipa gharama kubwa sana, sasa hizi hadithi za mafuta hazina mashiko 1% . Shida ni moja Hamas wanataka kulazimisha Israel ikubali matakwa yao na wakati hawana uwezo wa kulinda eneo la Gaza.
Sio kweli juzi tu hapa tumeona paka anasema hata kama watapewa mateka bado vita itaendelea
Au hukusiakia?
 
Kila kiongozi ana mazuri yake na mabaya yake. Obama ndiye raisi amepigana vita zaidi ya Clinton. Ameua sana akifatiwa na Bush Jr kwa miaka ya karibuni. Ameipa Iran nafsi ya kujipanga kwa nuclear. Ametetea ushoga kwa herufi kubwa duniani.
Trump ametukana sana watu weusi. Lakini yeye amejali nchi yake zaidi. Yaani amedili na kuongea uchumi kwa njia za kibiashara zaidi. Ameitambua Israel that is okay. Amepunguza gharama za vita kwa nchi kwa kurudisha majeshi nyumbani. Na anasema akiingia vita ya Ukraine itaisha. Kuisha kwa vita ya Ukraine kunaweza kutuliza vita ya hapo Gaza. Hata hivyo Trump ni pro Israel hili ni debatable.
Point yangu ni kila mtu ana kariba yake ya uongozi. Huwa namuona Trump anaongoza usa kifikra za kibiashara zaidi. Na siyo kiprotali za kijeshi na kuwaachia majenerals sijui majaji wamuingoze. Ndiyo maana upinzani kwake ni mkali zaidi.
Mkuu ni wapi Trump amesema akiingia atasitisha vita Ukraine? Umesikiliza ule mdahalo baina yake na Biden kuhusu mgogoro wa Ukraine na kutoa support Israel?
 
Back
Top Bottom