Nimeamini Maisha si kombolela, nimepata akiba ya Tsh. Milioni 14.7 mwaka huu

Duh miaka ishirini kwani nina mkataba na muumba
Mwenzetu huna watoto ama mke labda? Kias kwamba ukivuta hakuna hata mke ama watoto ambao wakaendelea kufaidi uwekezaji wako
 
Mwenzetu huna watoto ama mke labda? Kias kwamba ukivuta hakuna hata mke ama watoto ambao wakaendelea kufaidi uwekezaji wako
Spot on! Sihitaji mke wala watoto. Wacha nijilie mbususu mie
 
KAPIME VIDONDA VYA TUMBO.
Hio hela inarudi kujiuguza, mie nina sufer vifonda vya tumbo kutokana na kujitafuta.
Poor family lazime ujikusulu na kujidhuru ili wengine waje wapate afueni ya maisha. Hongera sana.
Jitahidi kuwekeza risk less investnent vinginevyo unaweza kurudi kwenye zero.
Uwekezaji wa hisa nao faida ni kidogo sana.
Until now bado hujatake risk yoyote zaidi ya kushinda njaa.
Imagine watu wamefukia hela shambani mvua za elnino zimesomba viazi walivyopanda na kuvipeleka mtoni. This is the risk I'm talking about.
I'm telling you bado huja take risk. Huwezi pata milioni 200+ kwa kujinyima mshagara, you must take risk! Haikwepeki mkuu labda kama hauutaki utajiri.
 
Kiwanja kinaweza kisipande thamani kama ufikiriavyo

Ungekuwa una open mind

Ningekwambia online kunakitu kinaitwa “high income skills”

Nunua laptop nzuri na simu nzuri

Nununua bando tafuta ujuzi ambao utajifunza kilasiku

Baada ya mwaka au miaka 2 ROI itakuwa kubwa sana .

Mimi hela nyingi nazopata nawekeza kwenye soft skills.

Return niliyoipata sijawahi kuwaza kwamba ningekuja kupata.
 
Sasa 11% sini kama 2.5M na point kadhaa. Hio pesa kwa ada zenu za Tusiime haiwezi kutosha.
 
Nimekusoma vizuri sana, ndiyo maana nikakuandikia hivyo.

Huo ndiyo ujinga wa Mwafrika, badala ya kusema nimepata mtaji nikanunuwe bond za serikali (kama hujuwi biashara), wewe unasema unakwenda "kula bata".

Huo ni ujinga usiomithilika.
Mkuu nataka kujua hizo bond za serikari
 
Mkuu nataka kujua hizo bond za serikari
Upo uzi hapa JF ulizielezea, bofya chini hapo:

Sasa 11% sini kama 2.5M na point kadhaa. Hio pesa kwa ada zenu za Tusiime haiwezi kutosha.
Bado haujazingatia mfumuko wa bei ambao kwa chini kabisa sasa hivi unaweza kuwa 6%. ROI halisi inaweza kuwa 5% or less.

Bora kununua viwanja sehemu potential viwili vitatu baada ya miaka mitano, kumi ukiuza faida inaweza kuzidi kuwa zaidi ya 100%, 200%.
 
Kaka unaweza kushare na sisi hizo high income soft skills plz
 
Usije nogewa na hilo bata ukala mkapa uliyoisave
 
Unemalizia vibaya sana. Akili zote ulizoongea huko juu zimeonekana ni ujinga mtupu
 
Unemalizia vibaya sana. Akili zote ulizoongea huko juu zimeonekana ni ujinga mtupu
Kwanini Mkuu. Actually nimeamua kwa mwezi huu na ujao asilimia 50 ya vipato vyangu niendelee kuwekeza kwenye ile 14.7 nyingine mahitaji ya familia. Hata hivyo mpaka Sasa UTT inasoma 30ml + kutokana na savings mbalimbali nilizowekeza.
 
Uzi wako ulikuwa ni funzo ila kama hutojali edit hiyo sehemu ya mwisho inaonyesha kutopevuka kiakili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…