Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Sawa chief 🙌Maisha sio Lele mama save hata kidogo ulichonacho. Mwanzo mgumu mbele kweupe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa chief 🙌Maisha sio Lele mama save hata kidogo ulichonacho. Mwanzo mgumu mbele kweupe
Mwenzetu huna watoto ama mke labda? Kias kwamba ukivuta hakuna hata mke ama watoto ambao wakaendelea kufaidi uwekezaji wakoDuh miaka ishirini kwani nina mkataba na muumba
Spot on! Sihitaji mke wala watoto. Wacha nijilie mbususu mieMwenzetu huna watoto ama mke labda? Kias kwamba ukivuta hakuna hata mke ama watoto ambao wakaendelea kufaidi uwekezaji wako
Hongera kwa ku save
Ila kuweka hela UTT umebugi bora hata ungenunua kiwanja
UTT wanatoa Faida ya about 10% annually, government bonds wanatoa mpaka 12.56% sasa hii ni Faida nzuri sana kwa mtu alieajiriwa na hana mda wa kukimbizana na biashara au tuseme hana uzoefu wa biashara na ni risk free. Kununua viwanja may be lakini kuna risk sana sababu ya utapeli n.k mi nashauri waajiriwa kujiwekea malengo ya kila mwezi then Pesa unaweka UTT ni rahisi sana. Sijawahi Jutia infact najilaumu sana sikuanza mapema. Pia ukiwa na bonds au UTT unawezatumia kukopea na ukafanya maendelea mengine na mkopo ukajilipa kupitia hizo bonds/uTT
Kiwanja kinaweza kisipande thamani kama ufikiriavyo
Na boda boda anaoa mkeweukifkisha 20M unakufa ndugu tunaidhulumu family yako
Sasa 11% sini kama 2.5M na point kadhaa. Hio pesa kwa ada zenu za Tusiime haiwezi kutosha.Endelea fikisha 25m nenda kaziwekeze kwenye BOND za serikali kwa hatifungani ya 20 yrs,Kila mwaka unakula faida ya 11% Kila mwaka hiyo itakusaidia kulipa ada za watoto Kila mwaka huwazi for fv**nkg 20 yrs then hapo 25 m Yako unarudishiwa kama ilivyo,then uendelee Tena ku make invest as more as you can utakula tu Bata huko mbeleni.
Msikatishe tamaa sababu hapo ni mwanzo, na akiendelea kuwekeza na faida itaendelea.Sasa 11% sini kama 2.5M na point kadhaa. Hio pesa kwa ada zenu za Tusiime haiwezi kutosha.
Mkuu nataka kujua hizo bond za serikariNimekusoma vizuri sana, ndiyo maana nikakuandikia hivyo.
Huo ndiyo ujinga wa Mwafrika, badala ya kusema nimepata mtaji nikanunuwe bond za serikali (kama hujuwi biashara), wewe unasema unakwenda "kula bata".
Huo ni ujinga usiomithilika.
Upo uzi hapa JF ulizielezea, bofya chini hapo:Mkuu nataka kujua hizo bond za serikari
Bado haujazingatia mfumuko wa bei ambao kwa chini kabisa sasa hivi unaweza kuwa 6%. ROI halisi inaweza kuwa 5% or less.Sasa 11% sini kama 2.5M na point kadhaa. Hio pesa kwa ada zenu za Tusiime haiwezi kutosha.
Kaka unaweza kushare na sisi hizo high income soft skills plzUngekuwa una open mind
Ningekwambia online kunakitu kinaitwa “high income skills”
Nunua laptop nzuri na simu nzuri
Nununua bando tafuta ujuzi ambao utajifunza kilasiku
Baada ya mwaka au miaka 2 ROI itakuwa kubwa sana .
Mimi hela nyingi nazopata nawekeza kwenye soft skills.
Return niliyoipata sijawahi kuwaza kwamba ningekuja kupata.
Usije nogewa na hilo bata ukala mkapa uliyoisaveMwaka huu nimejitesa sana aisee. Kifupi mshahara wangu ni 900k take home. Niliamua kujitusu kwa mwaka huu kwa kila mshahara niupatao nasevu 600k nilianza kama utani vile pia kazini kuna allowance mbalimbali za kukuwesha kusongesha maisha kwa mwezi ukipambana vizuri 300k hukosi mbali na mipigo mingine napo nilikuwa nasevu kwa kila nikipatacho.
Dah utajiri mgumu jamani. Nilianza saving UTT miaka ya nyuma ila kwa mwaka huu nimejizima Data kwa kusevu 1ml + kila mwezi. Ni ngumu sana kwa kipato changu nikipatacho.
-Sijanywa bia yoyote mwaka huu.
-Familia imeishi kigumu sana kwa kipato cha 300k+ kila mwezi. ( Uzuri mke alirudhia na kunitia moyo).
-Nina nyumba ya kuishi.
- Watoto bado wadogo under 7.
- Nimeteseka sana nimeishia kama shetani vile ila nimefanikisha.
FUNZO;
Maisha ni Maumivu, kujitoa na uvumilivu. Kipato cha
mwezi huu na ujao ni full kula Bata kujipooza machungu.
Unemalizia vibaya sana. Akili zote ulizoongea huko juu zimeonekana ni ujinga mtupuMwaka huu nimejitesa sana aisee. Kifupi mshahara wangu ni 900k take home. Niliamua kujitusu kwa mwaka huu kwa kila mshahara niupatao nasevu 600k nilianza kama utani vile pia kazini kuna allowance mbalimbali za kukuwesha kusongesha maisha kwa mwezi ukipambana vizuri 300k hukosi mbali na mipigo mingine napo nilikuwa nasevu kwa kila nikipatacho.
Dah utajiri mgumu jamani. Nilianza saving UTT miaka ya nyuma ila kwa mwaka huu nimejizima Data kwa kusevu 1ml + kila mwezi. Ni ngumu sana kwa kipato changu nikipatacho.
-Sijanywa bia yoyote mwaka huu.
-Familia imeishi kigumu sana kwa kipato cha 300k+ kila mwezi. ( Uzuri mke alirudhia na kunitia moyo).
-Nina nyumba ya kuishi.
- Watoto bado wadogo under 7.
- Nimeteseka sana nimeishia kama shetani vile ila nimefanikisha.
FUNZO;
Maisha ni Maumivu, kujitoa na uvumilivu. Kipato cha
mwezi huu na ujao ni full kula Bata kujipooza machungu.
Kwanini Mkuu. Actually nimeamua kwa mwezi huu na ujao asilimia 50 ya vipato vyangu niendelee kuwekeza kwenye ile 14.7 nyingine mahitaji ya familia. Hata hivyo mpaka Sasa UTT inasoma 30ml + kutokana na savings mbalimbali nilizowekeza.Unemalizia vibaya sana. Akili zote ulizoongea huko juu zimeonekana ni ujinga mtupu
Uzi wako ulikuwa ni funzo ila kama hutojali edit hiyo sehemu ya mwisho inaonyesha kutopevuka kiakiliKwanini Mkuu. Actually nimeamua kwa mwezi huu na ujao asilimia 50 ya vipato vyangu niendelee kuwekeza kwenye ile 14.7 nyingine mahitaji ya familia. Hata hivyo mpaka Sasa UTT inasoma 30ml + kutokana na savings mbalimbali nilizowekeza.