Bwana Bima
JF-Expert Member
- Jul 29, 2014
- 429
- 929
🤣🤣🤣Tunawangoja Leo. Si mmepata pa kuongeleaHuko Klabu bingwa hakuna kina Arajiga ambao hata mkifunga kwa mikono kama netball wanaweka mpira kati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Tunawangoja Leo. Si mmepata pa kuongeleaHuko Klabu bingwa hakuna kina Arajiga ambao hata mkifunga kwa mikono kama netball wanaweka mpira kati
Si ajabu kwamba hukuangalia hiyo mechi ndio maana unatema shudu tuuSIjawahi kuona mechi iishe bila visingizio...iwe Simba wala Yanga.
Visingizio
Visingizio
Maneno
Maneno
Mnasahau kuwa mliwahi kupewa penalti kwa kuchezewa faulo nje ya 18. Mnasahau kuwa kuna kona iliwahi kupigwa kwenye goli lenu kwa mpira uliotokea ndani ya milingoti yenu mitatu. Bwana Bima wapuuzi ni utopolo wote kasoro watu wawili. Vitimu vidogo huwa vina tabia za kishamba sana. Utafikiri sijawahi kukufunga 5.Hv mbona mi sioni mantik ya wewkuongea huu upuuzi wako? Kwa hoo Ile sio goli au? Ile sio clear red card + Ile aliochezewa lomalisa kwenye mechi na alahly? Mbona Simba mmekua wehu sana baada ya kipigo Cha zile goli 5? Ok mnaongea hivyo Leo tunawangoja mpate ushindi🤣🤣🤣🤣
Sasa mbona mnachonga sana utafikri na nyie mna kibarua chepesi Leo? Ok sisi tunakubali yote. Sisi timu ndogo, sisi washamba ila usikimbie Leo. Nawaambia mtaacha kwenda uwanjani mwaka huu🤣🤣🤣Mnasahau kuwa mliwahi kupewa penalti kwa kuchezewa faulo nje ya 18. Mnasahau kuwa kuna kona iliwahi kupigwa kwenye goli lenu kwa mpira uliotokea ndani ya milingoti yenu mitatu. Bwana Bima wapuuzi ni utopolo wote kasoro watu wawili. Vitimu vidogo huwa vina tabia za kishamba sana. Utafikiri sijawahi kukufunga 5.
Yan mnavyochonga utafikri mna timu🤣Mnasahau kuwa mliwahi kupewa penalti kwa kuchezewa faulo nje ya 18. Mnasahau kuwa kuna kona iliwahi kupigwa kwenye goli lenu kwa mpira uliotokea ndani ya milingoti yenu mitatu. Bwana Bima wapuuzi ni utopolo wote kasoro watu wawili. Vitimu vidogo huwa vina tabia za kishamba sana. Utafikiri sijawahi kukufunga 5.
Maneno ya chura haya. Utakimbia weweSasa mbona mnachonga sana utafikri na nyie mna kibarua chepesi Leo? Ok sisi tunakubali yote. Sisi timu ndogo, sisi washamba ila usikimbie Leo. Nawaambia mtaacha kwenda uwanjani mwaka huu🤣🤣🤣
Utaiona leo.Yan mnavyochonga utafikri mna timu🤣
Ngoja tu. Mnajufariji et kisa galaxy kupata goli moja huko? Mtakumbia nyie.Maneno ya chura haya. Utakimbia wewe
Nasubiri kwa hamuUtaiona leo.
Vipi na Mediama wangepewa panarit mbili walizo nyimwa ?Wabongo mna shida hasa mashabiki wa Simba. Toka mechi na alahly nyie ni kuiponda yanga tena kwa matukio ya wazi kabisa yaliyoinyima yanga ushindi. Ok tunawangoja kesho
Basi atakuwa amepokea chajuu kutoka pande zote maana kawanyima mediama penality tena zisizo na utata hata kidogo.Vita pale Libya vimeathiri uchumi wa nchi na mtu mmojammoja, Ma refa kutoka Libya wame udhalilisha mchezo wa mpira wa miguu.
Hongera kwa wachezji wa Yanga kuweza kuvumilia upuuzi wa kiwango chajuu uwanjani.
Wange Panic kadi nyingi zinge wahusu.
We ni mwanaume au pisi kaliBado hamjathema...yaani hadi mtheme
Vipi na Mediama wangepewa panarit mbili walizo nyimwa ?
Utapajua baada ya saa 5 usiku!Moroko ndio wapi?