Nimeamini mpira wa kiafrika ni majanga huyu refa wa Medeama na Yanga kadhihirisha mipango ya nje ya uwanja

Hv mbona mi sioni mantik ya wewkuongea huu upuuzi wako? Kwa hoo Ile sio goli au? Ile sio clear red card + Ile aliochezewa lomalisa kwenye mechi na alahly? Mbona Simba mmekua wehu sana baada ya kipigo Cha zile goli 5? Ok mnaongea hivyo Leo tunawangoja mpate ushindi🤣🤣🤣🤣
Mnasahau kuwa mliwahi kupewa penalti kwa kuchezewa faulo nje ya 18. Mnasahau kuwa kuna kona iliwahi kupigwa kwenye goli lenu kwa mpira uliotokea ndani ya milingoti yenu mitatu. Bwana Bima wapuuzi ni utopolo wote kasoro watu wawili. Vitimu vidogo huwa vina tabia za kishamba sana. Utafikiri sijawahi kukufunga 5.
 
Sasa mbona mnachonga sana utafikri na nyie mna kibarua chepesi Leo? Ok sisi tunakubali yote. Sisi timu ndogo, sisi washamba ila usikimbie Leo. Nawaambia mtaacha kwenda uwanjani mwaka huu🤣🤣🤣
 
Yan mnavyochonga utafikri mna timu🤣
 
Sasa mbona mnachonga sana utafikri na nyie mna kibarua chepesi Leo? Ok sisi tunakubali yote. Sisi timu ndogo, sisi washamba ila usikimbie Leo. Nawaambia mtaacha kwenda uwanjani mwaka huu🤣🤣🤣
Maneno ya chura haya. Utakimbia wewe
 
Hii ni champions league sio ile umitashumta mliyocheza fainali
 
Vita pale Libya vimeathiri uchumi wa nchi na mtu mmojammoja, Ma refa kutoka Libya wame udhalilisha mchezo wa mpira wa miguu.
Hongera kwa wachezji wa Yanga kuweza kuvumilia upuuzi wa kiwango chajuu uwanjani.
Wange Panic kadi nyingi zinge wahusu.
Basi atakuwa amepokea chajuu kutoka pande zote maana kawanyima mediama penality tena zisizo na utata hata kidogo.
 
Kibabage alikuwa amezidi ebu angalia.
FB_IMG_1702101414285.jpg
 
Panalty zipi 2. Clear penalty walionyimwa ilikua moja tu. Mi sio shabiki mandaz Mzee. Mi mtu wa boli. Mpira niliangalia mwanzo mwisho. Clear panalty ilikua moja tu. Napo hio panalty wangeipatajr mkuu wakiwa pungufu? Clear red card Tena mwamuz alikua karibu kabisa
Vipi na Mediama wangepewa panarit mbili walizo nyimwa ?
 
To be honest; ile faulo aliyofanyiwa Nickson Kibabage ilistahili kabisa kadi nyekundu. Sijajua ni kwa nini mwamuzi aliamua kutoa kadi ya njano.

Maana hata yule mchezaji mwenyewe wa Medeama bata hakuamini kama amenusurika.
 
Back
Top Bottom