Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
Anao wa kumuweka jela tuHuyo Mama uwezo wa kushindana na Lissu hana
Mapema asubuhiMarehemu Shehe Yahya alishawahi kutabiri kuwa akitoka Rais Kikwete atakuja Rais atakayetwala kwa muda mfupi(Magufuli)na baada ya hapo atatokea Rais mwanamke na baada ya hapo upinzani watachukua nchi!
Imethibitika Rais Samia hana ushawishi wowote kuanzia ndani ya chama chake hadi kwa wananchi wote kwa ujumla. Rais Samia licha ya kuwa makamu wa rais kwa miaka 5 anaonekana hajui matatizo ya Watanzania na wala hajui Watanzania wanataka nini.
Serikali ya Rais Samia kila kukicha inajitenga na wananchi wanyonge kwa kuwapatia huduma mbovu sana kwenye kila nyanja. Rais Samia hajui kukemea rushwa na ufisadi.
Hajui umuhimu wa viwanda kwa watanzania . Kutokana na ulegelege huu ikitokea kwenye uchaguzi mkuu akawekwa Rais Samia na Tundu Lissu basi utabiri wa shehe Yahya unatimia asubuhi na mapema kwa Rais Samia kushindwa vibaya sana kwenye sanduku la kura na Tundu Lisu wa chama cha upinzani kuibuka mshindi na kushika dola.
Chawa leo umebadilu mwelekeo?Marehemu Shehe Yahya alishawahi kutabiri kuwa akitoka Rais Kikwete atakuja Rais atakayetwala kwa muda mfupi(Magufuli)na baada ya hapo atatokea Rais mwanamke na baada ya hapo upinzani watachukua nchi!
Imethibitika Rais Samia hana ushawishi wowote kuanzia ndani ya chama chake hadi kwa wananchi wote kwa ujumla. Rais Samia licha ya kuwa makamu wa rais kwa miaka 5 anaonekana hajui matatizo ya Watanzania na wala hajui Watanzania wanataka nini.
Serikali ya Rais Samia kila kukicha inajitenga na wananchi wanyonge kwa kuwapatia huduma mbovu sana kwenye kila nyanja. Rais Samia hajui kukemea rushwa na ufisadi.
Hajui umuhimu wa viwanda kwa watanzania . Kutokana na ulegelege huu ikitokea kwenye uchaguzi mkuu akawekwa Rais Samia na Tundu Lissu basi utabiri wa shehe Yahya unatimia asubuhi na mapema kwa Rais Samia kushindwa vibaya sana kwenye sanduku la kura na Tundu Lisu wa chama cha upinzani kuibuka mshindi na kushika dola.
Autoe wapi bila elimu ya maanaHuyo Mama uwezo wa kushindana na Lissu hana
Utabiri wa marehemu shekhe Yahya utatikia tu lisu atakuwa Rais hata kwa uchaguzi mpya kwani bado kipindi kirefu mpaka kufika October lolote laweza kufanywa na mwenyezi mungu ingawa ibilisi wa ccm ni makaidi wanapimgana na utabiri kwa gharama kubwa sanaMarehemu Shehe Yahya alishawahi kutabiri kuwa akitoka Rais Kikwete atakuja Rais atakayetwala kwa muda mfupi(Magufuli)na baada ya hapo atatokea Rais mwanamke na baada ya hapo upinzani watachukua nchi!
Imethibitika Rais Samia hana ushawishi wowote kuanzia ndani ya chama chake hadi kwa wananchi wote kwa ujumla. Rais Samia licha ya kuwa makamu wa rais kwa miaka 5 anaonekana hajui matatizo ya Watanzania na wala hajui Watanzania wanataka nini.
Serikali ya Rais Samia kila kukicha inajitenga na wananchi wanyonge kwa kuwapatia huduma mbovu sana kwenye kila nyanja. Rais Samia hajui kukemea rushwa na ufisadi.
Hajui umuhimu wa viwanda kwa watanzania . Kutokana na ulegelege huu ikitokea kwenye uchaguzi mkuu akawekwa Rais Samia na Tundu Lissu basi utabiri wa shehe Yahya unatimia asubuhi na mapema kwa Rais Samia kushindwa vibaya sana kwenye sanduku la kura na Tundu Lisu wa chama cha upinzani kuibuka mshindi na kushika dola.
πππSaiz yake ni Salumu tu, Ndo maana hata Mpina kamkimbia
Yote yatokee lakini hilo Balaa lisije kutokea kwa Salum mwalimu awe Rais ni Hatari sana kwani Salum mwalimu ni tu wa hovyo sana akiwa Rais lakini Nchi inuke Uvundo itaoza kwa kazi ya ajabuKwa Lissu umeenda mbali sana. Huyo mazeli mbona hata mimi namgalagaza mapema tu endapo uchaguzi ukiwa huru na wa haki?
ππKwa Lissu umeenda mbali sana. Huyo mazeli mbona hata mimi namgalagaza mapema tu endapo uchaguzi ukiwa huru na wa haki?
FafanuaChawa leo umebadilu mwelekeo?