Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 3,358
- 6,667
Ana bahati nyuma yake kuna wanaume ila yeye km yeye ni debe tupu
Unahela chezea ccmNdo mahana kamfunga
Wapi huko?Ndo maana happy nation imebeba watu na kushusha ili wakashangilie... buhongwa kweupeeee
Nina timamu.Unahela chezea ccm
Hatuitaji akiliya mtu ni hela una ml miangapiNina timamu.
Hii akili ni hela na zaidi.Hatuitaji akiliya mtu ni hela una ml miangapi
Shehe aliuza code mapema, watu wameshtuka.Marehemu Shehe Yahya alishawahi kutabiri kuwa akitoka Rais Kikwete atakuja Rais atakayetwala kwa muda mfupi(Magufuli)na baada ya hapo atatokea Rais mwanamke na baada ya hapo upinzani watachukua nchi!
Imethibitika Rais Samia hana ushawishi wowote kuanzia ndani ya chama chake hadi kwa wananchi wote kwa ujumla. Rais Samia licha ya kuwa makamu wa rais kwa miaka 5 anaonekana hajui matatizo ya Watanzania na wala hajui Watanzania wanataka nini.
Serikali ya Rais Samia kila kukicha inajitenga na wananchi wanyonge kwa kuwapatia huduma mbovu sana kwenye kila nyanja. Rais Samia hajui kukemea rushwa na ufisadi.
Hajui umuhimu wa viwanda kwa watanzania . Kutokana na ulegelege huu ikitokea kwenye uchaguzi mkuu akawekwa Rais Samia na Tundu Lissu basi utabiri wa shehe Yahya unatimia asubuhi na mapema kwa Rais Samia kushindwa vibaya sana kwenye sanduku la kura na Tundu Lisu wa chama cha upinzani kuibuka mshindi na kushika dola.
Marehemu Shehe Yahya alishawahi kutabiri kuwa akitoka Rais Kikwete atakuja Rais atakayetwala kwa muda mfupi(Magufuli)na baada ya hapo atatokea Rais mwanamke na baada ya hapo upinzani watachukua nchi!
Imethibitika Rais Samia hana ushawishi wowote kuanzia ndani ya chama chake hadi kwa wananchi wote kwa ujumla. Rais Samia licha ya kuwa makamu wa rais kwa miaka 5 anaonekana hajui matatizo ya Watanzania na wala hajui Watanzania wanataka nini.
Serikali ya Rais Samia kila kukicha inajitenga na wananchi wanyonge kwa kuwapatia huduma mbovu sana kwenye kila nyanja. Rais Samia hajui kukemea rushwa na ufisadi.
Hajui umuhimu wa viwanda kwa watanzania . Kutokana na ulegelege huu ikitokea kwenye uchaguzi mkuu akawekwa Rais Samia na Tundu Lissu basi utabiri wa shehe Yahya unatimia asubuhi na mapema kwa Rais Samia kushindwa vibaya sana kwenye sanduku la kura na Tundu Lisu wa chama cha upinzani kuibuka mshindi na kushika dola.
Ondoa neno Lisu, ishia tu hapo kushindana.Huyo Mama uwezo wa kushindana na Lissu hana
Ni muda wa kukaa kimkakatiMama anamwaga pesa sio sera.
Wanatumia mabilioni mengi na kikwete Mbowe chauma wamekula nyingi
Kabisa kabisa mkuuNi muda wa kukaa kimkakati
Elitwege katika ubora wako dada yanguMarehemu Shehe Yahya alishawahi kutabiri kuwa akitoka Rais Kikwete atakuja Rais atakayetwala kwa muda mfupi(Magufuli)na baada ya hapo atatokea Rais mwanamke na baada ya hapo upinzani watachukua nchi!
Imethibitika Rais Samia hana ushawishi wowote kuanzia ndani ya chama chake hadi kwa wananchi wote kwa ujumla. Rais Samia licha ya kuwa makamu wa rais kwa miaka 5 anaonekana hajui matatizo ya Watanzania na wala hajui Watanzania wanataka nini.
Serikali ya Rais Samia kila kukicha inajitenga na wananchi wanyonge kwa kuwapatia huduma mbovu sana kwenye kila nyanja. Rais Samia hajui kukemea rushwa na ufisadi.
Hajui umuhimu wa viwanda kwa watanzania . Kutokana na ulegelege huu ikitokea kwenye uchaguzi mkuu akawekwa Rais Samia na Tundu Lissu basi utabiri wa shehe Yahya unatimia asubuhi na mapema kwa Rais Samia kushindwa vibaya sana kwenye sanduku la kura na Tundu Lisu wa chama cha upinzani kuibuka mshindi na kushika dola.
DuhNdo mahana kamfunga
HahahaShehe aliuza code mapema, watu wameshtuka.
Dawa yake ni lissuMama anamwaga pesa sio sera.
Kati ya makosa ccm mtandao hawawezi kufanya ni kuruhusu SSH ashindane na TAL!Marehemu Shehe Yahya alishawahi kutabiri kuwa akitoka Rais Kikwete atakuja Rais atakayetwala kwa muda mfupi(Magufuli)na baada ya hapo atatokea Rais mwanamke na baada ya hapo upinzani watachukua nchi!
Imethibitika Rais Samia hana ushawishi wowote kuanzia ndani ya chama chake hadi kwa wananchi wote kwa ujumla. Rais Samia licha ya kuwa makamu wa rais kwa miaka 5 na kuwa Rais kwa miaka 5 bado anaonekana hajui matatizo ya Watanzania na wala hajui Watanzania wanataka nini.
Serikali ya Rais Samia kila kukicha inajitenga na wananchi wanyonge kwa kuwapatia huduma mbovu sana kwenye kila nyanja. Rais Samia hajui kukemea rushwa na ufisadi.
Hajui umuhimu wa viwanda kwa watanzania, hata kwenye hotuba yake ya uzinduzi wa kampeni hamna jambo hata la maana linaloweza kumvutia mtu mwenye akili timamu akampigie kura. Kwenye serikali ya Rais Samia ukijitokeza kupinga ufisadi ,rushwa na utekaji utaonekana na utachukuliwa unampinga Rais hivyo itabidi ushughulikiwe! .!Kutokana na ulegelege huu ikitokea kwenye uchaguzi mkuu akawekwa Rais Samia na Tundu Lissu basi utabiri wa shehe Yahya unatimia asubuhi na mapema kwa Rais Samia kushindwa vibaya sana kwenye sanduku la kura na Tundu Lisu wa chama cha upinzani kuibuka mshindi na kushika dola.