Nimeamini sasa ikitokea kwenye uchaguzi ikawa SAMIA vs LISSU, Upinzani utachukua nchi

Kati ya makosa ccm mtandao hawawezi kufanya ni kuruhusu SSH ashindane na TAL!
SSH yupo pale kivuli (shadow/ceremonial president). Nchi inaongozwa JK, Rostam na machawa wao.
Pole Pole yupo sahihi. Sema yupo mbele ya muda!
Inasikitisha sana
 
Marehemu Shehe Yahya alishawahi kutabiri kuwa akitoka Rais Kikwete atakuja Rais atakayetwala kwa muda mfupi(Magufuli)na baada ya hapo atatokea Rais mwanamke na baada ya hapo upinzani watachukua nchi!

Imethibitika Rais Samia hana ushawishi wowote kuanzia ndani ya chama chake hadi kwa wananchi wote kwa ujumla. Rais Samia licha ya kuwa makamu wa rais kwa miaka 5 na kuwa Rais kwa miaka 5 bado anaonekana hajui matatizo ya Watanzania na wala hajui Watanzania wanataka nini.

Serikali ya Rais Samia kila kukicha inajitenga na wananchi wanyonge kwa kuwapatia huduma mbovu sana kwenye kila nyanja. Rais Samia hajui kukemea rushwa na ufisadi.

Hajui umuhimu wa viwanda kwa watanzania, hata kwenye hotuba yake ya uzinduzi wa kampeni hamna jambo hata la maana linaloweza kumvutia mtu mwenye akili timamu akampigie kura. Kwenye serikali ya Rais Samia ukijitokeza kupinga ufisadi ,rushwa na utekaji utaonekana na utachukuliwa unampinga Rais hivyo itabidi ushughulikiwe! .!Kutokana na ulegelege huu ikitokea kwenye uchaguzi mkuu akawekwa Rais Samia na Tundu Lissu basi utabiri wa shehe Yahya unatimia asubuhi na mapema kwa Rais Samia kushindwa vibaya sana kwenye sanduku la kura na Tundu Lisu wa chama cha upinzani kuibuka mshindi na kushika dola.
Umeandika ukweli mtupu. Ila jiepushe na maneno ya kijiwejiwe kama kuita watu wanyonge.
 
Ambacho bado hujui ni kuwa samia na lissu ni ccm ni mchezo tu mnachezewa wa kiakili ila wasukuma hamuwezikuelewa
 
Ni kweli ukiwa ndani ya V8 nchi haina wanyonge
Mimi sina hiyo V8 lakini siwezi jiita au kuita mtu mnyonge. Huo mo ujinga ambao jiwe aliutumia kupiga pesa. Bora kusema sijafanikiwa kuliko kujiita mnyonge
 
Hivi ile picture ya Rais kujipiga selfie wakuu mmeichukuliaje aisee ? Hivi Mama zipo zote kweli?
 
Marehemu Shehe Yahya alishawahi kutabiri kuwa akitoka Rais Kikwete atakuja Rais atakayetwala kwa muda mfupi(Magufuli)na baada ya hapo atatokea Rais mwanamke na baada ya hapo upinzani watachukua nchi!

Imethibitika Rais Samia hana ushawishi wowote kuanzia ndani ya chama chake hadi kwa wananchi wote kwa ujumla. Rais Samia licha ya kuwa makamu wa rais kwa miaka 5 na kuwa Rais kwa miaka 5 bado anaonekana hajui matatizo ya Watanzania na wala hajui Watanzania wanataka nini.

Serikali ya Rais Samia kila kukicha inajitenga na wananchi wanyonge kwa kuwapatia huduma mbovu sana kwenye kila nyanja. Rais Samia hajui kukemea rushwa na ufisadi.

Hajui umuhimu wa viwanda kwa watanzania, hata kwenye hotuba yake ya uzinduzi wa kampeni hamna jambo hata la maana linaloweza kumvutia mtu mwenye akili timamu akampigie kura. Kwenye serikali ya Rais Samia ukijitokeza kupinga ufisadi ,rushwa na utekaji utaonekana na utachukuliwa unampinga Rais hivyo itabidi ushughulikiwe! .!Kutokana na ulegelege huu ikitokea kwenye uchaguzi mkuu akawekwa Rais Samia na Tundu Lissu basi utabiri wa shehe Yahya unatimia asubuhi na mapema kwa Rais Samia kushindwa vibaya sana kwenye sanduku la kura na Tundu Lisu wa chama cha upinzani kuibuka mshindi na kushika dola.
Of course mdau, TAL atashinda 99%!
 
Back
Top Bottom