Nimeamini sasa ikitokea kwenye uchaguzi ikawa SAMIA vs LISSU, Upinzani utachukua nchi

Chama kiko madarakani miaka zaidi ya 50 kinaogopa reforms kila mtu mwenye akili timamu na anaejitambua hawezi kwenda kupiga kura ni kupoteza mda chama kina vuta watu kwa kupitia wasanii bongo movies ndo watanzania washamba wakusanyike kwenda kushangaa Diamond na Ali Kiba na Harmonize sio kuvuta watu kwa sera za chama bali kwa ushawishi wa wasanii na bongo movies ni aibu sana. Sasa sijui wakati wa kupiga kura hao bongo movies watasandiaje maana ni mtu anatoka mmoja mmoja kwenda kwenye kituo sijui bongo movies watapita nyumba kwa nyumba
 
Shehe aliuza code mapema, watu wameshtuka.
 

NRNE haipaswi kuwa mdomoni tu!
 
Watanzania bado tuna safari ndefu sana ya kujielewa kila mtu apambane kivyake, huyo Lisu akipewa urais ndo atafanya nini zaid ya kujinufaisha yeye na familia yake.🚮
 
Elitwege katika ubora wako dada yangu
 
Kati ya makosa ccm mtandao hawawezi kufanya ni kuruhusu SSH ashindane na TAL!
SSH yupo pale kivuli (shadow/ceremonial president). Nchi inaongozwa JK, Rostam na machawa wao.
Pole Pole yupo sahihi. Sema yupo mbele ya muda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…