Nimeamini sasa ikitokea kwenye uchaguzi ikawa SAMIA vs LISSU, Upinzani utachukua nchi

Kati ya makosa ccm mtandao hawawezi kufanya ni kuruhusu SSH ashindane na TAL!
SSH yupo pale kivuli (shadow/ceremonial president). Nchi inaongozwa JK, Rostam na machawa wao.
Pole Pole yupo sahihi. Sema yupo mbele ya muda!
Inasikitisha sana
 
Umeandika ukweli mtupu. Ila jiepushe na maneno ya kijiwejiwe kama kuita watu wanyonge.
 
Ambacho bado hujui ni kuwa samia na lissu ni ccm ni mchezo tu mnachezewa wa kiakili ila wasukuma hamuwezikuelewa
 
Ni kweli ukiwa ndani ya V8 nchi haina wanyonge
Mimi sina hiyo V8 lakini siwezi jiita au kuita mtu mnyonge. Huo mo ujinga ambao jiwe aliutumia kupiga pesa. Bora kusema sijafanikiwa kuliko kujiita mnyonge
 
Hivi ile picture ya Rais kujipiga selfie wakuu mmeichukuliaje aisee ? Hivi Mama zipo zote kweli?
 
Of course mdau, TAL atashinda 99%!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…