Nimeamini ukiwa mwanamke umetulia huna mambo mengi ndio unapata wanaume wasioleweka na matapeli

Sio wametulia ni watu flani hivi wajinga wasiojua mambo hata ya maisha ya msingi na ndio huo wnaita utulivu 🤣🤣🤣🤣🤣
Ndivyo mnavyotuona mtu akiamua kukuheshimu na kutulia anaonekana mjinga basi tumepata katiba mpya
 
Hapo utaruka ruka ukiona umemkosa wa vigezo vyako unajaa kwa huyu nice man 😂😂😂😂... Kila mwanamke huwa anae mwanamume wa hivi, anawekwa sub kwanza ila zile dakika za jiooooooooni ikiwa bila bila ndio anatambilishwa mchezoni shwaaaaaa, watu tunakula ubwabwa.
Kweli mkuu… lazima iwe hivyo
 
Ndivyo mnavyotuona mtu akiamua kukuheshimu na kutulia anaonekana mjinga basi tumepata katiba mpya
Huwezi kusema umetulia halafu ukapata jitu la honyo. Hakuna hiyo kanuni kwenye maisha. Wewe hujatulia ulikua unaigoza tu.
 
Ndivyo mnavyotuona mtu akiamua kukuheshimu na kutulia anaonekana mjinga basi tumepata katiba mpya
Wewe ulikuwa unaigiza kutulia, aliyetulia hana akili Kama zako. Eti umetulia halafu umeamua kuwa mcharuko. Hiyo katiba ya umalaya ni yako usiingize wanawake wanaojiheshimu na wametulia.
Wewe endelea na hiyo katiba yako na wahuni wataichapà sana na watakuacha pia.
 
Poapoa mkuu
 
Back
Top Bottom