Nimeamini ukiwa mwanamke umetulia huna mambo mengi ndio unapata wanaume wasioleweka na matapeli

Sio wametulia ni watu flani hivi wajinga wasiojua mambo hata ya maisha ya msingi na ndio huo wnaita utulivu 🤣🤣🤣🤣🤣
Ndivyo mnavyotuona mtu akiamua kukuheshimu na kutulia anaonekana mjinga basi tumepata katiba mpya
 
Kweli mkuu… lazima iwe hivyo
 
Ndivyo mnavyotuona mtu akiamua kukuheshimu na kutulia anaonekana mjinga basi tumepata katiba mpya
Huwezi kusema umetulia halafu ukapata jitu la honyo. Hakuna hiyo kanuni kwenye maisha. Wewe hujatulia ulikua unaigoza tu.
 
Ndivyo mnavyotuona mtu akiamua kukuheshimu na kutulia anaonekana mjinga basi tumepata katiba mpya
Wewe ulikuwa unaigiza kutulia, aliyetulia hana akili Kama zako. Eti umetulia halafu umeamua kuwa mcharuko. Hiyo katiba ya umalaya ni yako usiingize wanawake wanaojiheshimu na wametulia.
Wewe endelea na hiyo katiba yako na wahuni wataichapà sana na watakuacha pia.
 
Poapoa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…