LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Kwa sababu nawaonyesha upendo. I take care of them etc, wa Swahili wamekuwa wakinionyesha chuki ya ajabu sana. Plus kuwachukia wanangu pia. Kuna muda niliwahi kuiacha nyumba niliyo Jenga ( uswahilini nje ya jiji) nikarudi kupanga town ili nikae mbali na wa Swahili.
Kwa sababu ambacho kilikuwa kimebaki ni wao kuwadhuru wanangu au hata kuwateka for ransom.. Kungekuwa na dawa ya kuwakuza watoto ningeenda Kuwapa wawe watu wazima overnight.
Upendo huu ninao wapa watoto wangu, hawa wa Swahili hawajawahi kupewa na baba zao ama watoto wao hawapewi na baba zao ( wametelekezwa) ndio maana wanaona wivu.
Sio tu kwamba wanatamani watoto wao ndio wangekuwa watoto wangu ila wanatamani na wao pia wangekuwa watoto wangu.
Yusufu nduguze walitaka kumuua kwa sababu ya upendo huu wa Likud ( Upendo wa baba).
# I will never show love to poor people. Never.
# Those who want me to cry my powers will make them cry blood first.
# Mwafrika kuna kitu amepunjwa kwenye akili yake