Nimeamini USA ni kubwa la Dunia, Tamko la Trump tayari limeonyesha effect kwenye familia Yangu

Hakuna cha ukubwa wowote

Sio wewe staff wengi wa hayo mashirika wamekuwa jobless sehemu mbalimbali duniani

Ni kwamba Marekani ina hali ngumu programu nyingi za kutoa misaada zinafungwa


 
Kila baada ya siku 100 kwa wastani Marekani inatengeneza deni la $1 trillion

Unafikiri wataweza kweli kutoa misaada na kwa sasa deni la taifa limefikia $36 trillion?

Subirini mpaka baada ya hizo siku 90 muone
 
Hivi ni kweli hizi program zimeanza kuathurika au ni story za humu mitandaoni?
 
Nadhani ni wakati wangu kuanza kuajiri vibarua mashambani mwangu si mda nitaanza kuvuna watu humu humu JF wa kwanza akiwa mleta mada
Ukipata wengi nipe na mimi nataka km kumi hivi wanisaidie kung’olea mpunga..!! 😹
 

Tuachage kuwaida watu mabeberu
 
Hawa ng'ombe unaweza kugusia kidogo
 
🎶Che che che! Unapenda vitu vya cheee! Unapenda dezodezo. We bwana eeh! Yatakushindaa...

Che che che! Maisha yako dezodezo.

Tshala Muana.
🎼 che che che che kodi ya nyumba hulipii, maisha yako unapenda dezoo..

🎼 wewe mtoto wa kikee acha umbea mbea...
 
uhuru kenyatta kuna ujumbe amezungumza una maana sana kwa mataifa yetu tegemezi..
 
🎶Che che che! Unapenda vitu vya cheee! Unapenda dezodezo. We bwana eeh! Yatakushindaa...

Che che che! Maisha yako dezodezo.

Tshala Muana.
Che Che Che! Unataka vya cheee!

Maisha yako dezodezo

we bwana eeeh yatakuchocha,

Kodii ya hulipi

Maji yameshakatwa aah

Bado umeme inakuja..... very nostalgic....

Umetisha mkuu 👊
 
Mungu ni mwema , chukua mafao Yako utafanya mishe zingine
 
Duuuh! kama ni mwanaume, punguza wivu kwa mkeo,wabaya wako waliokua wanaktamani mkeo,watamnyoosha kinomanoma.Pole sana,ji-adjust mapema kuokoa familia.
 
Nina mwanangu alikuwa kwenye mradi anavuna milioni 5 kwa mwei, mradi ukaisha hata hela ya gesi, hela ya vitu vidogo, msosi wa mtoto ikawa mbinde, nilimpa sana kampani kipindi hiki, kapata kazi tena kasahau kila kitu 😂🤣
Unanitangaza sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…