NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Nikajua mna ukimwi sasa Mtakosa VAR OR sorry ARV.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipata wengi nipe na mimi nataka km kumi hivi wanisaidie kung’olea mpunga..!! 😹Nadhani ni wakati wangu kuanza kuajiri vibarua mashambani mwangu si mda nitaanza kuvuna watu humu humu JF wa kwanza akiwa mleta mada
Che che che che🎶Che che che! Unapenda vitu vya cheee! Unapenda dezodezo. We bwana eeh! Yatakushindaa...
Che che che! Maisha yako dezodezo.
Tshala Muana.
Hali ni mbaya kulia na kusaga meno tayari vimeanza.
Mimi ni mtumishi mwandamizi wa shirika X linajihusisha na huduma za CTC, aisee moja haikai mbili haikai tumeanza kupewa notice, familia zetu zitaishije jamani, shirika linna step down!
Trump ni shetani kabisa
Sie unapata mradi wa Mana ujenzi unafanyika unakuta contract ni 1-4 yrs muda huo mnaishi Maisha mazuri kinyama , sema mradi unaisha unakabidhi adi taulo ulilopewa unatumia unarudi unakaa home, Tena unaibuka mradi wa Mana Tena unapiga hela, trump anaangalia hela za walipa Kodi wa USA zitumike vizuri.
Weka ng'ombe wa maziwa hapo home ambaye anatoa 30-45lt per day wapo Kenya wanauza like 6M plus za kitanzania Maisha yakasogea usiogope.
Pia future is uncertainty none knows it only God.
Wewe umesimamishwa kazi unaitukana dunia. Kuna wenzako wamelala hospital mwaka wa pili huu hapa,
Wapo wanakula chakula kupitia puani.
Maandiko yanasema shukuru kwa Kila jambo , unakuta hapo utapata kazi ya Mana mpaka Tena ushukuru Muumbaji kuwa ni Bora trump aliingia , unaweza unashangaa unaanzisha biashara inaenda mbali mno unakuja kuwa tajiri mkubwa mno Mana utaanza Kama zali ama kuwa na mahala pa kuzuga yaani jiwe la pembeni likageuka kuwa jiwe juu la ujenzi
Che che che yatamshindaaa...Che che che che
Kodi ya nyumba hulipi
Maji yameshakatwa-ha
Operation, kata umeme inakuja 😹😹😹
🎼 che che che che kodi ya nyumba hulipii, maisha yako unapenda dezoo..🎶Che che che! Unapenda vitu vya cheee! Unapenda dezodezo. We bwana eeh! Yatakushindaa...
Che che che! Maisha yako dezodezo.
Tshala Muana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umepata familia kwa msaada wa watu wa marekani
Che Che Che! Unataka vya cheee!🎶Che che che! Unapenda vitu vya cheee! Unapenda dezodezo. We bwana eeh! Yatakushindaa...
Che che che! Maisha yako dezodezo.
Tshala Muana.
Che Che Che..🎼 che che che che kodi ya nyumba hulipii, maisha yako unapenda dezoo..
🎼 wewe mtoto wa kikee acha umbea mbea...
Mungu ni mwema , chukua mafao Yako utafanya mishe zingineHali ni mbaya kulia na kusaga meno tayari vimeanza.
Mimi ni mtumishi mwandamizi wa shirika X linajihusisha na huduma za CTC, aisee moja haikai mbili haikai tumeanza kupewa notice, familia zetu zitaishije jamani, shirika linna step down!
Trump ni shetani kabisa
Unanitangaza sio?Nina mwanangu alikuwa kwenye mradi anavuna milioni 5 kwa mwei, mradi ukaisha hata hela ya gesi, hela ya vitu vidogo, msosi wa mtoto ikawa mbinde, nilimpa sana kampani kipindi hiki, kapata kazi tena kasahau kila kitu 😂🤣