Nimeamini USA ni kubwa la Dunia, Tamko la Trump tayari limeonyesha effect kwenye familia Yangu

Duuuh! kama ni mwanaume, punguza wivu kwa mkeo,wabaya wako waliokua wanaktamani mkeo,watamnyoosha kinomanoma.Pole sana,ji-adjust mapema kuokoa familia.
Greater thinker wa 2000's huyo.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mi naamin anabana kwa muda ataachia japo pia naamin anaweza achia kinamna nyingine..ila akibana kabisa kabisa kitaumana kuna familia baba na mama wote kimewalamba na hawana chanzo kingine chochote cha fedha wanahaha na January hii japo Dec walipata double salary..wengine wameenda vacation laitikama wangejua pengine wangeweka akiba..Mungu awanusuru...
Lakini pia Mungu amewaonjesha ladha ya kuwa jobless kwa muda ili wafeel vile wanawaachisha wenzao kazi kwa zengwe
 
Unayopitia yanahudunisha na sio jambo la kufurahia,.......ila mtu hawezi kia shetani kwa kukunyima mali zake
 
UN Global si imetoa tangazo huduma zinaendelea?

Pia, trump si alisema program inahakikiwa kwa kipindi cha miezi 3 siyo kwamba imeisha?
Bora wakumbushe mkuu kwani uhakiki ukiisha wataendelea kama kawaida hata kama watakuja kivingine naamini huduma zitaendelea
 
You made my day
 
Nimeipenda hii expert wangu
 
Wengi walimsifia Trump. Ngoja wale matunda ya sifa zao.
 
Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu amfanyaye kuwa kinga yake, huyo Trump pumzi yake anaijua ipo lini!
 
Vikao mnafanya nanan Dr?
 
Serikali yaMarekani mbona ilishaweka bayana kuwa zuio la USAIDs haligusa misaada ya HIV...

Naona waswahili wanaendelea kukuza huo wasiwasi wa mbaazi kupigwa chini...

Sehemu ya hiki nilichoandika unaweza ukakisoma pia hapa chini...


 
sasa ujishikilie vizuri kiongozi maana trump kashachukua ajira yake usipokaa sawa utashangaa yule mgeni aliyeimbwa na kepteni komba naye huyu hapa!
 
Wengi sana ukikaa huko kijijini uwezi waona, njoo mjini tukuonyeshe
Wewe achana na huyo Mkwe wako, huyo hawezi kuyaona machungu ya vyeti feki kwa sababu bado unampa kampani.

😁😁😁 Mimi nasemea Shemeji yako aliyekulea ambae analala geto moja na dada yako, kwani hauoni maisha magumu anayepitia kwa sasa tokea ajambishwe kazini kwake ?
 
Karibu Basotu tulime vitunguu maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…