Roboti Wa Nape
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,174
- 2,876
Greater thinker wa 2000's huyo.😀😀😀😀Duuuh! kama ni mwanaume, punguza wivu kwa mkeo,wabaya wako waliokua wanaktamani mkeo,watamnyoosha kinomanoma.Pole sana,ji-adjust mapema kuokoa familia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Greater thinker wa 2000's huyo.😀😀😀😀Duuuh! kama ni mwanaume, punguza wivu kwa mkeo,wabaya wako waliokua wanaktamani mkeo,watamnyoosha kinomanoma.Pole sana,ji-adjust mapema kuokoa familia.
We kanunue misukuleUkipata wengi nipe na mimi nataka km kumi hivi wanisaidie kung’olea mpunga..!! 😹
Wanadai magari yao tena..mbona kama red flag watarudisha mradi kweli hawa jamaa?Sasa wanataka mpaka magari ili wayapeleke wapi tena
ARV's zikifikiwa sijui kutakuwa na hali gani
Unayopitia yanahudunisha na sio jambo la kufurahia,.......ila mtu hawezi kia shetani kwa kukunyima mali zakeHali ni mbaya kulia na kusaga meno tayari vimeanza.
Mimi ni mtumishi mwandamizi wa shirika X linajihusisha na huduma za CTC, aisee moja haikai mbili haikai tumeanza kupewa notice, familia zetu zitaishije jamani, shirika linna step down!
Trump ni shetani kabisa
Bora wakumbushe mkuu kwani uhakiki ukiisha wataendelea kama kawaida hata kama watakuja kivingine naamini huduma zitaendeleaUN Global si imetoa tangazo huduma zinaendelea?
Pia, trump si alisema program inahakikiwa kwa kipindi cha miezi 3 siyo kwamba imeisha?
You made my daySie unapata mradi wa Mana ujenzi unafanyika unakuta contract ni 1-4 yrs muda huo mnaishi Maisha mazuri kinyama , sema mradi unaisha unakabidhi adi taulo ulilopewa unatumia unarudi unakaa home, Tena unaibuka mradi wa Mana Tena unapiga hela, trump anaangalia hela za walipa Kodi wa USA zitumike vizuri.
Weka ng'ombe wa maziwa hapo home ambaye anatoa 30-45lt per day wapo Kenya wanauza like 6M plus za kitanzania Maisha yakasogea usiogope.
Pia future is uncertainty none knows it only God.
Wewe umesimamishwa kazi unaitukana dunia. Kuna wenzako wamelala hospital mwaka wa pili huu hapa,
Wapo wanakula chakula kupitia puani.
Maandiko yanasema shukuru kwa Kila jambo , unakuta hapo utapata kazi ya Mana mpaka Tena ushukuru Muumbaji kuwa ni Bora trump aliingia , unaweza unashangaa unaanzisha biashara inaenda mbali mno unakuja kuwa tajiri mkubwa mno Mana utaanza Kama zali ama kuwa na mahala pa kuzuga yaani jiwe la pembeni likageuka kuwa jiwe juu la ujenzi
Nimeipenda hii expert wanguSina hakika, sababu sasa hivi sio km zamani, inaweza kupita miez 6+ huko hajakucheki, hata salamu ngumu, sasa katukuta sisi maskini jeuri, hatusaidii ili na wao watusaidie kesho la hasha, huwa tunasaidia sababu tunaona watu wetu wa karibu wametingwa(wana shida kushinda shida zetu) tunasaidia sababu sisi mtu akikunyooshea mkono wa kuhitaji, huwezi kuficha mkono wako mgongoni, nawe unamnyooshea kumpa kile kidogo ulichonacho.
Jamaa wameambiwa wakabidhi magar kabisaWanadai magari yao tena..mbona kama red flag watarudisha mradi kweli hawa jamaa?
Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu amfanyaye kuwa kinga yake, huyo Trump pumzi yake anaijua ipo lini!Hali ni mbaya kulia na kusaga meno tayari vimeanza.
Mimi ni mtumishi mwandamizi wa shirika X linajihusisha na huduma za CTC, aisee moja haikai mbili haikai tumeanza kupewa notice, familia zetu zitaishije jamani, shirika linna step down!
Trump ni shetani kabisa
Maamaaa weeeJamaa wameambiwa wakabidhi magar kabisa
Vikao mnafanya nanan Dr?Kuna Rafiki angu Nilikuwa namshauru kila siku aje tupambane serkalini Huku Alikuwa hataki Kabisa kafanya kazi huu mwaka wa 18 Ila jana kanipigia Simu analalama sana...
Mambo yanaenda Kuwa magumu sana Sijui kama serkali ilijiandaa kwa Hii Kitu..
Japo tunafanya vikao vya normalise the situation ila Bado ni tight
swahilitimes.co.tz
Hali ni mbaya kulia na kusaga meno tayari vimeanza.
Mimi ni mtumishi mwandamizi wa shirika X linajihusisha na huduma za CTC, aisee moja haikai mbili haikai tumeanza kupewa notice, familia zetu zitaishije jamani, shirika linna step down!
Trump ni shetani kabisa
sasa ujishikilie vizuri kiongozi maana trump kashachukua ajira yake usipokaa sawa utashangaa yule mgeni aliyeimbwa na kepteni komba naye huyu hapa!Hali ni mbaya kulia na kusaga meno tayari vimeanza.
Mimi ni mtumishi mwandamizi wa shirika X linajihusisha na huduma za CTC, aisee moja haikai mbili haikai tumeanza kupewa notice, familia zetu zitaishije jamani, shirika linna step down!
Trump ni shetani kabisa
Wewe achana na huyo Mkwe wako, huyo hawezi kuyaona machungu ya vyeti feki kwa sababu bado unampa kampani.Wengi sana ukikaa huko kijijini uwezi waona, njoo mjini tukuonyeshe
Karibu Basotu tulime vitunguu majiHali ni mbaya kulia na kusaga meno tayari vimeanza.