Nitafutie bff anguUnavamia lipi sasa?? Au nikutafutie? πππ
Angalia lenye maokoto bff hawa wazee wa kupiga domo achana nao π€£π€£π€£
Kwanza ana kadi yake mpka amuite Mzee?Eti mzee kapatwa na nini! Kwani umeambiwa wazee ndyo hawapendi kula vitu vizuri!
Lomomy ni Kuwadi Kungwi kabisa, mbona hatustuani tuchangamkie fursa jamani [emoji848][emoji2960]Ulinipa kimeo bff kweli hunipendi
Angalia yeye na mtoa post hii wanaitanaje halafu urudi hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alinipa vimeo tu huyu kuwadi bure kabisaLomomy ni Kuwadi Kungwi kabisa, mbona hatustuani tuchangamkie fursa jamani [emoji848][emoji2960]
Hahaaa...sina neno kumsigina Me mwenzangu, pambana na hali yako tu Ndugu [emoji119][emoji847]Sasa ningejitetea vipi mkuu
Ohooo...[emoji3578][emoji4]Wee acha uongo usitake kutuangushia jumba bovu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ww sema una tamaa shemeji, yani ww wa kumgeuka bff wangu?!!
Ww mdanganye mtoa mada ila tunajua moyo wako ulipo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Simba wamejichokea hawana pa kuhemea π€£π€£π€£πππ
Nilikuwa thread ya Simba huko nacheka comments tchaaah'...!!
Mbn unaangalia upande mmoja wa shilingi tu je kama baba cath si muumini wa mke mmoja?Mimi ni mkristo, ndoa ni ya wawili
Mwanamke mmoja na mwanaume mmoja
Siku Mungu akikubariki ukazaa dume ndipo utanielewa, mbali na hapo ni sawa na kujilisha upepo tu.Nyie mnajiendekeza bhana
Hutakiwi kumdharau, ni asili ya mwanaume kutamani, upendo kwa mkewe uko pale pale anataka kukuonja tu kwa tamaa za macho.Angeenda kutongoza mbali huko na sio mimi
Nimemdharau sanaa
Hapna we umekutana na anaecheat sasa kutuunganisha ma sisi imahusiana na nini tupumzishe kwanza bhn ephenHabari!
Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100%
Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda kwa jirani mwenye nyumba inayofuata baada ya kwetu.
Tumeshakua ni washkaji japo yeye ni mtu mzima kiasi, ana mume na watoto watano. Ila mimi na yeye tunaongea lugha moja. Mshkaji wangu namwita Mama Cathe. Anapendana sana na mume wake familia yao ni bora yenye upendo, kuwaona wamekumbatiana na mume wake ni jambo la kawaida sana.
Nipo karibu nae nimejua baadhi ya mambo, mume wake huwa anarudi kila siku mchana kula, mama Cathe huwa anamsubiri mchana ili wale wote saa 9.
Kwa jinsi wanavyopendana usiku wanaweka msosi nje wanakula mume, mke na watoto kulishana ni jambo la kawaida. Siku zote ninavyowachora mume anampenda sana mkewe, nilikua naona hawezi hata kumsaliti, hata michepuko haijui. Nilikua naamini kuna wanaume ni waaminifu na huyu Baba Cathe nilimuweka kundi hilo kwa jinsi wanavyoishi.
Juzi asubuhi mama kanituma nikanunue mahitaji, natembea zangu kwenye uchochoro mpana nikasikia mtu ameniita 'Ephen!' nikageuka nyuma. Nakutana na Baba Cathe akaniambia 'Nilikuona wakati unatoka nikasema nikufate sababu kila siku navizia nafasi ya kuongea na wewe lakini siipati, kwani unaenda wapi?'
Mpaka hapo nikawa nimeshangaa sikutegemea hii kauli kutoka kwake, hapo anaongea kimahaba
Huyu mzee nilikua namuheshimu sana....Nikamwambia naelekea dukani.
Akasema 'basi naomba namba yako siku yoyote naweza kukupigia tukutane sehemu X, huwa unanivutia sana nahitaji tuongee zaidi' nikamjibu sina simu
Alarm ikalia kichwani kwangu kua ule uchochoro yeyote anaweza kutokea ikawa kesi, sikumjibu nikageuka nikaendelea na safari yangu. Mimi nipo mbele yeye nyuma hapo natembea chap niumalize uchochoro akawa anaongea maneno ambayo siwezi kuyaandika hapa.
Nikamaliza uchochoro na yeye nahisi huku nyuma aligeuza, muda wote nikawa najiuliza huyu mzee kapatwa na nini?
Kilichonishtua ni jana nimekaa kibarazani na mkewe mida ya mchana, karudi mke wake akasimama kumkumbatia, huyu mzee akanikonyeza. Namuona anakuja kwa kasi!
Wanaume wote kumbe wanacheat.....!
Hpn Mimi sipo katka kundi hilo nipo tu nimetulia zanguNyie wote ni walewaleπ
Nakaziaaaaaaaaaa..Mdogo wangu mzuri,
Kamwe usiweke Imani kwa kiumbe hai aitwaye mwanadamu, iwe wa kike ama kiume, kuwa 'dissapointed' ni suala la kugusa tu..!!
Ukilewa usichatHabari!
Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100%
Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda kwa jirani mwenye nyumba inayofuata baada ya kwetu.
Tumeshakua ni washkaji japo yeye ni mtu mzima kiasi, ana mume na watoto watano. Ila mimi na yeye tunaongea lugha moja. Mshkaji wangu namwita Mama Cathe. Anapendana sana na mume wake familia yao ni bora yenye upendo, kuwaona wamekumbatiana na mume wake ni jambo la kawaida sana.
Nipo karibu nae nimejua baadhi ya mambo, mume wake huwa anarudi kila siku mchana kula, mama Cathe huwa anamsubiri mchana ili wale wote saa 9.
Kwa jinsi wanavyopendana usiku wanaweka msosi nje wanakula mume, mke na watoto kulishana ni jambo la kawaida. Siku zote ninavyowachora mume anampenda sana mkewe, nilikua naona hawezi hata kumsaliti, hata michepuko haijui. Nilikua naamini kuna wanaume ni waaminifu na huyu Baba Cathe nilimuweka kundi hilo kwa jinsi wanavyoishi.
Juzi asubuhi mama kanituma nikanunue mahitaji, natembea zangu kwenye uchochoro mpana nikasikia mtu ameniita 'Ephen!' nikageuka nyuma. Nakutana na Baba Cathe akaniambia 'Nilikuona wakati unatoka nikasema nikufate sababu kila siku navizia nafasi ya kuongea na wewe lakini siipati, kwani unaenda wapi?'
Mpaka hapo nikawa nimeshangaa sikutegemea hii kauli kutoka kwake, hapo anaongea kimahaba
Huyu mzee nilikua namuheshimu sana....Nikamwambia naelekea dukani.
Akasema 'basi naomba namba yako siku yoyote naweza kukupigia tukutane sehemu X, huwa unanivutia sana nahitaji tuongee zaidi' nikamjibu sina simu
Alarm ikalia kichwani kwangu kua ule uchochoro yeyote anaweza kutokea ikawa kesi, sikumjibu nikageuka nikaendelea na safari yangu. Mimi nipo mbele yeye nyuma hapo natembea chap niumalize uchochoro akawa anaongea maneno ambayo siwezi kuyaandika hapa.
Nikamaliza uchochoro na yeye nahisi huku nyuma aligeuza, muda wote nikawa najiuliza huyu mzee kapatwa na nini?
Kilichonishtua ni jana nimekaa kibarazani na mkewe mida ya mchana, karudi mke wake akasimama kumkumbatia, huyu mzee akanikonyeza. Namuona anakuja kwa kasi!
Wanaume wote kumbe wanacheat.....!
JF chimbo maridadi kabisa la kushushia stress kwa jumbe kama hizi lazima tu ucheke [emoji122]Ndio,
hapa nilipo wameninyang'anya remote madogo wanatqzama catoon.