Nimeamini wanaume hawaaminiki

Hivi kumbe
 
Bora nimwite Lucas Mwashambwa yeye atakua upande wanguπŸ˜„
 
🀣🀣🀣🀣 team bovu had vitimu vibovu wanajipigia mnyama..!! Sema makolo wana stress wanaweza kukung’ata ukikaa karibu nao
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
kabla tubadili mada ya watu, naomba niage kwa kusema 'mnyama sikuhizi kawa kibogoyo, hang'ati..!'
 
Mimi hua naona ni heri mtu uujue uhalisia ili hata likitokea la kutokea usishangae saana, kuliko kudhani kwamba mtu ni malaika kumbe ni binadamu na ana mapungufu yake.
Kaonyesha haiapoteza chochote anatest mitambo kama kishasahau
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
kabla tubadili mada ya watu, naomba niage kwa kusema 'mnyama sikuhizi kawa kibogoyo, hang'ati..!'
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Simba kokote lazima ijadiliwe sababu team mbovu ile, ss hivi wana hasira na viongozi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…