Nimeamini wanaume hawaaminiki

Nimeamini wanaume hawaaminiki

Habari!
Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100%

Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda kwa jirani mwenye nyumba inayofuata baada ya kwetu.

Tumeshakua ni washkaji japo yeye ni mtu mzima kiasi, ana mume na watoto watano. Ila mimi na yeye tunaongea lugha moja. Mshkaji wangu namwita Mama Cathe. Anapendana sana na mume wake familia yao ni bora yenye upendo, kuwaona wamekumbatiana na mume wake ni jambo la kawaida sana.

Nipo karibu nae nimejua baadhi ya mambo, mume wake huwa anarudi kila siku mchana kula, mama Cathe huwa anamsubiri mchana ili wale wote saa 9.

Kwa jinsi wanavyopendana usiku wanaweka msosi nje wanakula mume, mke na watoto kulishana ni jambo la kawaida. Siku zote ninavyowachora mume anampenda sana mkewe, nilikua naona hawezi hata kumsaliti, hata michepuko haijui. Nilikua naamini kuna wanaume ni waaminifu na huyu Baba Cathe nilimuweka kundi hilo kwa jinsi wanavyoishi.

Juzi asubuhi mama kanituma nikanunue mahitaji, natembea zangu kwenye uchochoro mpana nikasikia mtu ameniita 'Ephen!' nikageuka nyuma. Nakutana na Baba Cathe akaniambia 'Nilikuona wakati unatoka nikasema nikufate sababu kila siku navizia nafasi ya kuongea na wewe lakini siipati, kwani unaenda wapi?'

Mpaka hapo nikawa nimeshangaa sikutegemea hii kauli kutoka kwake, hapo anaongea kimahaba
Huyu mzee nilikua namuheshimu sana....Nikamwambia naelekea dukani.

Akasema 'basi naomba namba yako siku yoyote naweza kukupigia tukutane sehemu X, huwa unanivutia sana nahitaji tuongee zaidi' nikamjibu sina simu

Alarm ikalia kichwani kwangu kua ule uchochoro yeyote anaweza kutokea ikawa kesi, sikumjibu nikageuka nikaendelea na safari yangu. Mimi nipo mbele yeye nyuma hapo natembea chap niumalize uchochoro akawa anaongea maneno ambayo siwezi kuyaandika hapa.

Nikamaliza uchochoro na yeye nahisi huku nyuma aligeuza, muda wote nikawa najiuliza huyu mzee kapatwa na nini?

Kilichonishtua ni jana nimekaa kibarazani na mkewe mida ya mchana, karudi mke wake akasimama kumkumbatia, huyu mzee akanikonyeza. Namuona anakuja kwa kasi!

Wanaume wote kumbe wanacheat.....!
Yaani Baba cathe aharibu huko ujumuishe wanasema wote mpaka Baba yako?

Jitathimini, mpe Tu huyo Mzee afurahie papuchi kijana
 
Unataka haribu Eid ya mzee wa Watu.
 
Hakuna wanaume wanaonyesha mahaba kama wanaume wanaocheat Kuna ule msemo"wanaume malaya wanawapenda Sana wake zao "
 
Yaani unajisifu kabisa kutembelea ndoa za watu.
We hujaolewa unaenda kufanya Nini kwenye familia za watu tena sio ndugu zako?

Ukiwa kapera tembelea makapera wenzio huo ndio utaratibu na wenye ndoa wanatembeleana wao kwa wao

Nimekuona wa ajabu sana yaani unajisifu kabisa kwenda kutembelea ndoa za watu huko mtaani kwenu hakuna makapera au?
 
Kwahiyo hapo ndio umemaliza research yako kuwa wanaume wote wanacheat,hiyo tabia yako ya kuwa na rafiki mke wa mtu ndio itakugharimu,kwa maisha kama hayo nimewahi kushuhudia mtu kaacha mke na kuhamia kwa rafiki wa mkewe.

Usijaribu kushindana na shetani kwa kutumia akili zako mwenyewe,usipoangalia utashtukia tu siku moja mko chumba kimoja na Baba Cathe mmejifungia mlango...
Uko sahihi kuwa Rafiki Na mke wa MTU haijakaa POA.....nlikuaga Na Rafiki yangu tumeshibana Sana Yan tulipendana Sana and I loved her and and I was a true friend to her....tulipomaliza chuo akaolewa here baadae mumewe shemej yake akaaanza kunitongoza wakat huohuo akawa anamwambia Uyo Rafiki yangu sitaki Uwe Na urafiki Na flani ambaye Ni Mimi kumbe ananitongoza.......Rafiki yangu akawa ananialika niende kumtembelea kwake nkawa namzungusha namwambia am busy nilikua sitaki kukanyaga kwake nlianza kukeep distance Na yeye nikamblock Shem namba zake zote mpaka Facebook nikamblock maana alikua ananitext mpaka Facebook.....navokwambia mpaka Sasa urafiki ulishakufa Zamani Sana Na namba zake nlifutq
 
Wanaume kwanini mnapenda kutembea Na MTU Wa Karibu wa mke wako unakuta dada,mdogo,best friend, cousin wengine mpaka mama mzazi wa mkewe
 
Back
Top Bottom