Nimeamini wanawake wengi ni malaya

Nimeamini wanawake wengi ni malaya

Summary
Ametongoza Dem ,, akatiki ila mgumu kutoa mzigo , akafungua fb account akampandia na 30 elf Dem akakubali wakakubaliana kwenda lodge ,,,,,,,,, Dem hakuamini macho yake kumuona ni huyu mwamba ... Akasema iwe Siri .... Hatimae akampa mbususu mwamba.
 
Habari za muda huu

Kuna demu moja hivi nilikutana nae tukafahamiana akawa mteja wangu,nikamtongoza akakubali .Ila kutoa mzigo akawa anaringa na kuzungusha nikamuuliza au unataka uniuzie??
Akasema yeye hafanyi biashara

Kwakuwa nilishajua vingi toka kwakee nikampandia Fb kwa account ambayo jina lake sio halisi.Nikamchombeza chombeza akaitika
Nikamwambia tukutane Lodge akakubali kwa makubaliano ya kumlipa 30K
Ikafika siku ya kuja Lodge nikampigia simu akapokea,nikaongea nae akaniwmbia anaenda mjini kununua mafuta ya kupikia nikamwambia apitie twende wote akakataa.( Nilipiga ili kuona if yuko na Safari kweli)

Mimi nikatangulia mjini nikachukua lodge
Alivyofika akaniwmbia nitoke nikampokee , nikamwambia naoga aje tuu ndani akabisha bisha mwisho akakubali
Alivyofika hakuamini macho yake kunikuta ndio Mimi
Akauliza kwanini umenifanyia hivi??
Nikampanga panga
Akagoma.Nikamwambia Basi Mimi nakuacha hapa

Badae akaniomba nisimwambie yeyote kuhusu lile na hatorudia tena akanipa mzigo na hela hakudai
Sasa hapa wanawake wengi ni malaya au huyo ulokutana nae ndio malaya?? Unawezaje kuhitimisha kuwa ni wengi wakati ni tukio moja linalohusisha mwanamke mmoja???
 
Sasa hapa wanawake wengi ni malaya au huyo ulokutana nae ndio malaya?? Unawezaje kuhitimisha kuwa ni wengi wakati ni tukio moja linalohusisha mwanamke mmoja???
Njoo weekend hii tuspend plus kuna laki 1 kwa ajili yako ukinipa mbususu. Hii sentensi inaweza kuvua chupi 90% ya wanawake wa kileo ambao wamezagaa humu humu mitandaoni!
 
Chai ya moto kinoma na hivi haina kitafunio..I can't drink it
 
Back
Top Bottom