Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Sijawahi fanya huo utotoKwamba we hujawahi kuliwa nauli?? Usikute we ndio wale mnaotoa ruhusa msachiwe mtu achukue hela zote akuachie walau hela kidogo tu ya kulinda mfuko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi fanya huo utotoKwamba we hujawahi kuliwa nauli?? Usikute we ndio wale mnaotoa ruhusa msachiwe mtu achukue hela zote akuachie walau hela kidogo tu ya kulinda mfuko
Khaaaaa ila wanaume jamanUmalaya ni kwa mwanamke tu! Hakuna mwanaume malaya ila kuna mwanaume mzinzi. Mtoa mada ni mwanaume mzinzi aliekutana na mwanamke malaya naomba tuelewane kwa hili....
Kama ni jipya nitukane,, ila kama ni lililozoeleka jitukane mwenyewe😏😏Mimi naomba nisikutukane
Demu unaesotea kitaa mwezi mzima, kuna jamaa anamnunua kwa 20k. OberHabari za muda huu
Kuna demu moja hivi nilikutana nae tukafahamiana akawa mteja wangu,nikamtongoza akakubali .Ila kutoa mzigo akawa anaringa na kuzungusha nikamuuliza au unataka uniuzie??
Akasema yeye hafanyi biashara
Kwakuwa nilishajua vingi toka kwakee nikampandia Fb kwa account ambayo jina lake sio halisi.Nikamchombeza chombeza akaitika
Nikamwambia tukutane Lodge akakubali kwa makubaliano ya kumlipa 30K
Ikafika siku ya kuja Lodge nikampigia simu akapokea,nikaongea nae akaniwmbia anaenda mjini kununua mafuta ya kupikia nikamwambia apitie twende wote akakataa.( Nilipiga ili kuona if yuko na Safari kweli)
Mimi nikatangulia mjini nikachukua lodge
Alivyofika akaniwmbia nitoke nikampokee , nikamwambia naoga aje tuu ndani akabisha bisha mwisho akakubali
Alivyofika hakuamini macho yake kunikuta ndio Mimi
Akauliza kwanini umenifanyia hivi??
Nikampanga panga
Akagoma.Nikamwambia Basi Mimi nakuacha hapa
Badae akaniomba nisimwambie yeyote kuhusu lile na hatorudia tena akanipa mzigo na hela hakudai
Huo ndo ukwel adseKwenye hela utawalaumu wadada