Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahahahah majiko yasije yakanunaLazima washushe na wajirahisishe vinginevyo Bucha zitanuna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahah majiko yasije yakanunaLazima washushe na wajirahisishe vinginevyo Bucha zitanuna
Hayo ni maoni yake, wewe unaonaje?Kuna mwalimu wangu wa Bios Olevel aliitwa Madam Bura alisisitiza hivyo Mara nyingi
Nguvu ya karatasiBahatika kuzishika karatas, Aafu na Akili iwe na chaji.
Utawalaa sana... Bure... Kwa malipo... Kwa kinywaji... Kwa msosi... Kwa muonekano yaani kwa kila style ni wewe tu.
You just need to be around them even if you don't talk much or at all they'll figure out themselves. Kamba hukatika pembamba.
Talking from experience. [emoji146]
Ogopa sana Nguvu ya Karatasi sio Mchezo.Nguvu ya karatasi
HaaaaOgopa sana Nguvu ya Karatasi sio Mchezo.
One day Sunday hivi baada ya church nikaenda mahali kupiga soup. Nlivyopaki tu nikaenda moja kwa moja jikoni nika order nikaenda kutulia.
Akaja Muhudumu kunisiliza nikamwambia elete Kilimanjaro Water BabaLao 1.5 baridi sana. Akaondoka alivyorudi akanihudumia ile ya kufutafuta nini mixer kanimimia huku ananitizama... Mimi niko bize na Tambo. Huku namuona kwa kijicho Pembe.
Alivyomaliza tu akaniambia... Karibu na kuja ujumbe wako hapa umetoka meza ile pale... Kucheki hivi. Nakuta Tissue ina namba ya simu alafu chini kidogo imeandikwa ”WhatsApp Me!” nikamuuliza tena Meza gani? Akaniambia huku anaondoka ile pale yenye Mwavuli wa Serengeti Lite... Daah!! Kucheki vizuri namuona Mrembo mmoja nafkiri nlimuona Church sema sikumzingatia akanipungia na mimi nikapunga.[emoji1423]
Soup ikaja... Wakati yuleyule Mhudumu ananinawisha huku nawaza. Akili ikaniambia utatekwa Acha Use.. Jazz Band. Nikachukua ile Tissue nikajifuta mikono nikaitupia kwenye Kabeseni kale huyoo nikaendelea zangu. Kumbe nimeonekana bhana!
Yaah bila hela achana na mademu utalia sana na hutokuwa na amani kila saa utawaza wanakugongea...Ndo maana nimeamua kuwa singo tu.mapenzi bila pesa utateseka tu.
Ndo rafiki yangu mmoja kaomba namba tarehe 15.tarehe 16 kapigwa kizinga Cha 5,000.
Ananipigia simu analia Lia[emoji16][emoji16][emoji16].oh demu mwenyewe anataka hela.nikamwambia mapenzi pesa hakuna demu wa bure.
Leo kanitumia meseji nimefuta namba zake
Ulifanya matusi na "maraya"!😝😝😝😝Sad kivipi
Nimeanza tangu mwezi wa 3 mwaka huu.nipo huru.kuna wakati natamani niombe namba kila nikiwaza vibomu nachokaYaah bila hela achana na mademu utalia sana na hutokuwa na amani kila saa utawaza wanakugongea...
Maana utashindwa kutoa vi efu kumi kumi kila mchumba akitaka
Mkuu umeongea kiutu uzima sana, tunakoma sie tusiotaka kuchepuka!Mabinti wa kibongo wengi hawajui mapenzi, wanafanya tu kwa vile mwanaume anataka au kalazimisha.
Unakuta mwanamke yupo hadi kwenye ndoa, na bado mmewe akiomba unyumba usiku, mwanamke anaona kama ni kelo, adhabu na kazi ngumu.
Umalaya ni kwa mwanamke tu! Hakuna mwanaume malaya ila kuna mwanaume mzinzi. Mtoa mada ni mwanaume mzinzi aliekutana na mwanamke malaya naomba tuelewane kwa hili....Hakuna mwanaume Malaya duniani
Too old for this
Man you're from the hood kabisa yanii [emoji23][emoji3577]Ogopa sana Nguvu ya Karatasi sio Mchezo.
One day Sunday hivi baada ya church nikaenda mahali kupiga soup. Nlivyopaki tu nikaenda moja kwa moja jikoni nika order nikaenda kutulia.
Akaja Muhudumu kunisiliza nikamwambia elete Kilimanjaro Water BabaLao 1.5 baridi sana. Akaondoka alivyorudi akanihudumia ile ya kufutafuta nini mixer kanimimia huku ananitizama... Mimi niko bize na Tambo. Huku namuona kwa kijicho Pembe.
Alivyomaliza tu akaniambia... Karibu na kuja ujumbe wako hapa umetoka meza ile pale... Kucheki hivi. Nakuta Tissue ina namba ya simu alafu chini kidogo imeandikwa ”WhatsApp Me!” nikamuuliza tena Meza gani? Akaniambia huku anaondoka ile pale yenye Mwavuli wa Serengeti Lite... Daah!! Kucheki vizuri namuona Mrembo mmoja nafkiri nlimuona Church sema sikumzingatia akanipungia na mimi nikapunga.[emoji1423]
Soup ikaja... Wakati yuleyule Mhudumu ananinawisha huku nawaza. Akili ikaniambia utatekwa Acha Use.. Jazz Band. Nikachukua ile Tissue nikajifuta mikono nikaitupia kwenye Kabeseni kale huyoo nikaendelea zangu. Kumbe nimeonekana bhana!
Mimi naomba nisikutukaneMama yako yumo kwenye wengi au wachache😂😂😂
Kwamba we hujawahi kuliwa nauli?? Usikute we ndio wale mnaotoa ruhusa msachiwe mtu achukue hela zote akuachie walau hela kidogo tu ya kulinda mfukoHata huyo usumbufu aliokuwa analeta ni sababu hajaambiwa atapewa hela!
Af usiseme hata asipopewa mzigo kawaida hao mazombi mnaokula nauli zao usifananishe na mashababi😅 hao ni mabwege tu! Unaliwaje nauli na mwanamke kizembe. Kama mzigo kutoa hataki aseme ni msimamo tu! Haina shanapa yani.
Yaani kwa study case yako moja tayari inatosha kutoa majumuisho???Habari za muda huu
Kuna demu moja hivi nilikutana nae tukafahamiana akawa mteja wangu,nikamtongoza akakubali .Ila kutoa mzigo akawa anaringa na kuzungusha nikamuuliza au unataka uniuzie??
Akasema yeye hafanyi biashara
Kwakuwa nilishajua vingi toka kwakee nikampandia Fb kwa account ambayo jina lake sio halisi.Nikamchombeza chombeza akaitika
Nikamwambia tukutane Lodge akakubali kwa makubaliano ya kumlipa 30K
Ikafika siku ya kuja Lodge nikampigia simu akapokea,nikaongea nae akaniwmbia anaenda mjini kununua mafuta ya kupikia nikamwambia apitie twende wote akakataa.( Nilipiga ili kuona if yuko na Safari kweli)
Mimi nikatangulia mjini nikachukua lodge
Alivyofika akaniwmbia nitoke nikampokee , nikamwambia naoga aje tuu ndani akabisha bisha mwisho akakubali
Alivyofika hakuamini macho yake kunikuta ndio Mimi
Akauliza kwanini umenifanyia hivi??
Nikampanga panga
Akagoma.Nikamwambia Basi Mimi nakuacha hapa
Badae akaniomba nisimwambie yeyote kuhusu lile na hatorudia tena akanipa mzigo na hela hakudai
Ukila hata 500 yangu ,lazima utoe mzigo kwanjia yeyote ileKwamba we hujawahi kuliwa nauli?? Usikute we ndio wale mnaotoa ruhusa msachiwe mtu achukue hela zote akuachie walau hela kidogo tu ya kulinda mfuko