Nimeamka asubuhi nimekuta shuka zina matone ya damu!! mpaka saizi najitafuta nilipoumia sipaoni?

Nimeamka asubuhi nimekuta shuka zina matone ya damu!! mpaka saizi najitafuta nilipoumia sipaoni?

Wakuu kama niliposema!

Najiuliza yametoka wapi bado sina majibu.

Silali na mtu hajaingia mtu chumbani kwangu Sijaumia popote.

Sijawai tokwa damu puani.

Mkoa ni kigoma.

Napata sana wasiwasi
Yaan kifupi hamna namna ambayo inanipa jibu matone yametoka wapi
Hama maramoja
 
Huo ugonjwa umeingia hauna jina ila unaambukizwa kwa hewa, watu kadhaa nimeona wanaumwa huo ugonjwa unalala asubuhi unaamka unakuta damu zimekutoka
 
Umelalia mbu baloshiba damu
Ni ugonjwa mpya hospitali hauna tiba na haufahamiki sana sitaki kueleza hapa mambo mengine haya ni very sensitive kuyaelezea ila elewa huo ni ugonjwa wala hajalalia mbu alieshiba damu, in short ni ugonjwa unaoshambulia koo na mapafu nahisi mtu anatokwa na damu usiku akiamka asubuhi anakuta damu kwenye shuka ila hajui damu zimemtoka wapi
 
Umekula vya watu sasa umeanza bleed.

Unless otherwise jiangalie ipo sehemu ina tatizo
 
Wakuu kama niliposema!

Najiuliza yametoka wapi bado sina majibu.

Silali na mtu hajaingia mtu chumbani kwangu Sijaumia popote.

Sijawai tokwa damu puani.

Mkoa ni kigoma.

Napata sana wasiwasi
Yaan kifupi hamna namna ambayo inanipa jibu matone yametoka wapi
Hiyo sio damu yako ni wanga wanakufanyia michezo wamekuja nayo ila makinika sana
 
Pole

Fikiria umemkosea mtu au ulijibishana na mtu bila kujua atakurudia?

Pie je, umetongoza mwanamke huko labda wa mtu?

Lingine upo penye ushindani na unaona unafanikiwa?

Ukumbuke kusalia wewe na yote bila kusahau kitanda hicho.
Aende hospitali huo ni ugonjwa mpya unasambaa kimya kimya mtakuja kusema nilisema
 
Back
Top Bottom