Nimeamua kuacha kutafuta dada poa

Nimeamua kuacha kutafuta dada poa

Unaenda vichochoroni huko kwa wahuni

Na ukipigwa bisu sisi tukikupeleka kijijini kwenu tunamwambia mama yako ukweli hatusemi uongo

Hatujali cha kusitiri maiti wala nini ..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni muda mrefu umepita tangia kuachana na yule aliyeniambia anataka nimtumikie kama malkia Kisha nikachukua uamuzi wa kuondoka kwake Kwa speed ya 5G.

Japo tulipishana nilimkumbuka Kwa mambo aliyokuwa ananipa kwenye SITA Kwa SITA.Kila nikimuwaza mashine hiyo imesimama DEDE.Nikajitafakari na kuona kuliko kujichukulia Sheria mkononi ngoja nizame mtaani.

Yaliyonikuta sasa baada ya kuingia chemba ya Wauza raha.Nikabonga na mmoja wao akawa anasema ;"Kaka kama unataka show time basi chumba unalipia 5000 show 10000.

Nikabaki nimeshangaa maana Kwa Wauza raha wa Dar sio expensive hivyo.Katika kujitafakari nikaona huu ni uharibifu wa rasilimali fedha nikajiambia ; "Kweli ndani ya sekunde chache za kimoko afu 15000 initokee ngoja nitulie.................

KAMA NI HIVI BORA NIKUBALI NDOA SASA MAANA UNAJISEVIA .
Kakudanganya nani kwenye ndoa unajisevia tu?
 
Dah Kweri hapa naisi ni DRC maana zaga za kila namna zipo
 
Ukitoka round about panda kidogo kama unaenda goba,Kisha Kunja kushoto.mkono wa Julia utaona shule ya msingi Ina madarasa ya ghorofa.
 
Umebadilisha tu aina ya madada poa , karibu kwenye ulimwengu wa tuma na yakutolea.
 
Nawasalimu ndugu zangu

Huu uzi ni sawa na mrejesho wa uzi wangu uliopita juu ya sintofahamu yangu kuhusu upatikanaji wa Dada poa maeneo ya Mbezi Mwisho

Nawashukuru wadau walichangia, wakanielekeza machimbo. Nami nilihakikisha nafika ili nipate mbususu, basi nilifika eneo hilo Lubumbashi Bar.

Kwanza ni bar local sana, niliingia mle ili kudadisi, nikaagiza zangu kamunyweso huku nikiendelea kudadisi , mziki mkubwa watu wengi mle ni vijana wenye umri wa kati 25 hadi 30 hivi cha ajabu wanakunywa pombe kali smart Gin, Konyagi, K-vant na hata double kick

Nilishangaa sana, sijawahi kushuhudia Bar kuna smart Gin au Double kick zaidi wale vijana ukiwadadisi bado wanapambana ( wako chini ya dollar moja) sasa nikaanza kujiuliza kuna ulazima wa kunywa pombe while still una struggle for food, kilichonisikitisha zaidi kuona akina mama wenye mimba kabisa nao wakiserebuka

Kwangu mimi likawa jambo geni Basi nikaanza kudadisi maeneo ( chimbo la malaya) kuna mdau akanielekeza kuna ka uchochoro fulani aisee sikuamini macho yangu, nilikutana na wadada wamechoka, wajawazito , wanavuta sigara, wamejichubua, wachafu hakika nilitokwa na machozi labda kwa sababu mimi machimbo yangu ya Sinza( African sana) na Tabata ( small planet) kuna malaya safi na smart.

Basi kupita tu yale maeneo, nilijiona kama nina laana, sistahili mbele ya jamii. Nimeamua kuachana kabisa na hii desturi ambayo nimeishi nayo miaka mingi sana,

Nawaaga kwenye chama, naanza kujifunza kutongoza
Ukiwa hapo mbezi stand ya daladala, upande wa pili kule chini kwenye frem kuna bar moja na gest moja ipo ndani ndani hapo malaya wa pale ni wachafu sana ukijumlisha na gest yao chafu mno alafu wameweka taa hafifu zinawaka kama mshumaa.

Sipakumbuki vizuri pana itwaje cz nilipita nikiwa nimelewa. Ninachokumbuka tuu nilitoroka kama mjusi mpaka barabarani nikapanda gari lolote lililo mbele yangu kukwepa ile kadhia nikajikuta nipo segerea konda anasema hapa ndo mwisho wa gari
 
Ukiwa hapo mbezi stand ya daladala, upande wa pili kule chini kwenye frem kuna bar moja na gest moja ipo ndani ndani hapo malaya wa pale ni wachafu sana ukijumlisha na gest yao chafu mno alafu wameweka taa hafifu zinawaka kama mshumaa.

Sipakumbuki vizuri pana itwaje cz nilipita nikiwa nimelewa. Ninachokumbuka tuu nilitoroka kama mjusi mpaka barabarani nikapanda gari lolote lililo mbele yangu kukwepa ile kadhia nikajikuta nipo segerea konda anasema hapa ndo mwisho wa gari
Noma sana Mzee... Zote ni harakati tuu
 
Back
Top Bottom