Nimeamua kuachana na masuala ya dini, sihitaji kero za ajabu

Hili ni jambo lililo wazi
Uthibitisho ulio wazi nimeshakuelezea

Umeuelezea wapi ? Kwako wewe kupatia Kuna nafasi gani ?

Ulianza kukosea pale uliandika ya kuwa UISLAMU amekuja nao Muhammad. Nikasema inakuwaje au mnapata wapi ujasiri wa kuandika mambo msio kuwa na ujuzi nayo ?
 
Utamaduni ni nini?
Hiyo uliyosema wewe ni tafsiri ya Madrasa.
Je, Kuna watu wanafunga ndoa ya serikari, hapo dini imehusika
Umeuelezea wapi ? Kwako wewe kupatia Kuna nafasi gani ?

Ulianza kukosea pale uliandika ya kuwa UISLAMU amekuja nao Muhammad. Nikasema inakuwaje au mnapata wapi ujasiri wa kuandika mambo msio kuwa na ujuzi nayo ?
Embu tuelezee mjuvi
Kuna mtu aliyetoa shahada kabla kuja kwa Mudi?

Kuna mtu aliyesema Mungu wake anaitwa Allah kabla ya Mudi?

Kuna watu walikuwa wanaadhini kabla ya Mudi?

Kuna mtu mwingine kabla ya Mudi, akitokea Uarabuni alijiita Mtume/nabii?

Kabla ya Mudi, kulikuwepo na Miungu ya kale ya kiarabu. Al Allat, Al Huzza na Manat

Hijja ilikuwepo Toka zamani, kabla ya Mudi
Kaaba Mudi kaikuta

Watu walikuwepo kabla ya dini,
Dini imewakuta watu
Kinachowaponza mnatumia fikra za watu wa kale, kufanya ndio ukweli Mtakatifu huku ninyi mmeacha kufikiri
 
Hakuna binadamu asiyekuwa na dini😅😅sikutaja madrasa ..

Ndoa za serikali kama si waumini wa ukristo Wala uislam basi wamefuata taratibu za kiserkali ndio dini yenyewe sasa. Kumbuka wanakula kiapo basi kile ndio mfungamano wa imani yao ...

Kuna watu wao maisha yao ni siasa hizi za wazungu basi ndiyo dini yao ..Mfano : Marehemu kigunge .

Mfumo wowote unaofuata wewe ni dini yako , ndio maana hizo hukumu zipo kwenye sheria za dini na serikali.Kama uislamu uko complete nyanja zote ; kisiasa, kiuchumi ,kitamaduni ,na kijamii.


Waliopo dunia ni non affiliated katika dini kuu mbili ,ila wana mfungamano katika dini nyingine ,fuatilie tena usome sana.


Ukijibu swali hii tutaendelea :kwa nn mahakamani watu wanaapa hata kama kama sio muislamu wala mkristo ,unaweza kuapa hata kwa katiba ya nchi?​
 
Hongera sana 👏
 
Labda tuanze kwa kukubaliana dini ni nini?
Utamaduni ni nini?
Nini tofauti Yao?
Kingunge Ngombare mwiru hakuwa mtu wa dini yoyote.


Culture refers to the social behaviors, norms, beliefs, values, customs, arts, and other human endeavors that characterize a particular group of people or society. It encompasses various elements such as language, dress, food, rituals, and social practices. Culture shapes how individuals within a community interact with each other and their environment, influencing their worldview and identity.

Religion, on the other hand, is a structured system of beliefs often centered around a higher power or deity. It includes organized practices, moral codes, rituals, and community gatherings that provide meaning, purpose, and guidance to individuals. Religion often addresses questions of existence, morality, and the cosmos and can play a pivotal role in shaping a person's values and behaviors.

Differences between Culture and Religion:

1. Scope:
- Culture is broader and encompasses various aspects of human life, including language, art, social norms, and day-to-day practices.
- Religion is a specific aspect of culture focused on spiritual beliefs and practices.

2. Function:
- Culture serves to unify a group through shared practices and expressions, influencing everyday life experiences.
- Religion often provides moral guidance, community support, and answers to existential questions.

3. Variability:
- Culture can change quickly and is influenced by various factors, including globalization, technological advancement, and social change.
- Religion can also change, but it tends to have more defined structures and guidelines, which can lead to slower evolution over time.

4. Identity:
- Cultural identity can be formed through various elements, such as ethnicity, nationality, and regional practices.
- Religious identity is typically tied to the particular beliefs and practices one follows, which can be independent of cultural background.

While culture and religion can influence and overlap with each other, they represent distinct facets of human society and experience.
This message has been generated by Nova - download it for free:

Ninyi mnachanganya kati ya utamaduni na dini.
Utamaduni ndio kila kitu wakati dini ni uhusiano wako na Imani uliyo iamini.
Ile tafsiri ya Quran sio sahihi.
Ndio maana waafrika tumeiga kuanzia majengo yao, vyakula vyao leo tende ina thamani kuliko embe au nyama ya ngamia imepewa kipaumbele kuliko Ng'ombe.
Mavazi Yao, lugha yao ndio imekuwa ya Mungu na Ngozi Yao ndio mfano ulio Bora 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Lakini bila kupelekwa kwenye hizo dini usingejuwa uwepo wa Mungu
Pole!

Hukupaswa kuwa mtu wa Dini!

Bali mtu wa Mungu!

Mungu na mtu walishakuwepo kabla Dini hazijakuwepo!!

Trust me niliamua kuwa mtu wa Mungu badala ya mtu wa Dini na ninaishi vizuri tu!!
[/QUOTE
 
Hutokuja kunielewa kwa sababu unacopy, mfumo wa maisha ni dini ...Ukitaka kujua kila mtu ana dini basi angalia waislamu na wakristo ,unakuta ni msukuma ila anafunga ndoa kiislam mpaka mavazi siku ya ndoa yake .

Kingine tamaduni (mfumo wa maisha) ya mwafrika imepotezwa kutokana na dini ya uislamu na ukiristo ,mfano : kuabudu mizimu huu ni utaratibu wa mwafrikq ila akiwa muislamu au mkristo basi hiyo mizimu ni ushirikina na haifai ...Huwezi kufuata dini mbili ndio maana haiwezekani kufuata tamaduni za kimila na dini kwa wakati mmoja ni vitu viwili vinajtegemea ,vyote ni mfumo wa mwanadamu katik maisha yake ya kila siku.

Hata ukisoma masimulizi ya mitume ,wakati wanakuja kutangaza mafundisho ya Mungu walikutakana na ukinzani wa makabila yaliyokuwa na mfumo kamili ...Wale wakuu wamakabila walijiuliza kwa wafuate tamaduni mpya ambazo watu wanadai zinatoka kwa Mungu na waache za kwao ,kwa vile walikuwa complete ; kuanzia sheria mpaka mambo ya kijamii na uchumi.

Ukisoma mambo ya mila kama lugha ,mavazi ,na taratibu nyingine utakuta ni yale yale tu maana ni mfumo ..Kwenye dini kuna mavazi aina ya kujistiri ni kinyume kabisa na makabila kama mzansi (South africa) ...Dini na mila& makabila yote ni mfumo mmoja wa utaratibu wa binadamu.

Leo hapa bongo unasoma kwa kingereza na wewe mswahilu😅😅mwishoe unaamini wazungu ndio kila kitu ,mkinyimwa msaada mnaanza kulia basi ndio mnafuata tamaduni za wazungu mpka sheria na mavazi ya kiofisi ni mfumo wa wazungu ...Ndio dini hiyo kama unaamini kweny matamko ya wazungu basi ndiyp imani yako.



Wengine wanasema wanaktaa dini za kuletwa ila wao wanaabudu mizimu .


Hakuna binadamu anayeweza kuishi bila ya dini.​
 
Usichanganye Utamaduni na dini.
Utamaduni bado upo na haujapotezwa.
Ila waumini wa Ukristo na Uislamu ndio wanalazimika kuacha tamaduni za kiafrika na kuchukua tamaduni za wazungu/waarabu.

Ila utamaduni ni utamaduni na dini ni dini, ninyi ndio mnao changanya hivi vitu.

Kila jamii Ina utamaduni ila sio lazima dini iwepo.
 
Wana dini yao ,wana mfumo kamili wa maisha ; jinsi ya kutambua vitu ,kuoana na kufanya sherehe zao ,aina ya vyakula ,mgawanyo wa majukumu ,mipaka katika jamii yao.

Hiyo ni dini tosha.!
Saaafi kwahiyo dini sio lazima iwe Islamic na Christian?
 
Don't be stupid, you moron, bigot, racist, jingoist, segregationist, redneck, chauvinist, dogmatist, extremist, fanatic, and partisan hapa tu kuionyesha ubaguzi, Yan dini za wenzako haufai, mbona ujinga wako upo wazi sana ? Yan kwenye dini hizo hizoumeweka grade na unaona wewe unachokiamini ni bora kuliko wengine ? Kitobo wewe. Don't be a fool, from now on I'll be ignoring you homo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…