Mkuu kwanini unaniona mjinga ? Duniani kuna dini ngapi ? Kwanini yakwako uione ya maana kuliko zote ?
Nakuona mjinga kwa kile ulichokiandika. Sababu kinyume Cha kutokuwa na elimu juu ya jambo fulani, ndio ujinga wenyewe huo. Wewe huna elimu juu ya hiki unachokijadili.
Ziko dini nyingi sana, sababu dini yangu inaendana na hali halisia na ndio dini ya mitume wote na manabii wote.
Akili iliyo salama inakataa ya kuwa, iweje Mungu awe mmoja halafu dini ziwe nyingi, lazima tu itakuwepo dini Moja ya kweli. Hii ndio akili salama inavyoelekeza.
Wakati wewe utakuwa Muislam sababu tu umezaliwa na wazazi waislam, leo na wap waliipokea hivyo hivyo kabla ya christianity na uislam kuja Africa watu hawakuwepo ? Walikuwa wanaabudu dini gani ?
Kila mwanadamu anazaliwa akiwa katika umbile la UISLAMU, isispkuwa wazazi wake ndio humfanya akawa muabudu moto, au jus au dini nyingine.
Mimi sikuishia tu kuwa Muislamu wa kuzaliwa, bali naendelea kuusoma UISLAMU wangu. Sababu kwetu sisi Waislamu kujifunza dini yetu ni jambo la lazima.
Watu walikuwepo, soma historia hao mababu zenu mnaowasema wameabudu mizimu au miti, baada ya kukengeuka na kuacha dini ya Mola. Hivi Kuna watu wa mwanzo zaidi ya Adamu ? Suala la kuabudi mizimu ni jambo jipya limekuja baadae.
Unaweza kututhibitishia dini za mababu zako zilianza lini na ilikuwaje wakaabudu hayo waliyo yaabudu ? Najua hapa huwezi sababu huna historia hata ya vizazi vyenu kumi nyuma.
Yan hizi dini za mapokeo zimefanya umeniona mjinga , dini za mapokeo zimekufanya utengeneze matabaka, kama unaweza kuionyesha chuki wazi wazi kwenye mwezi wenu mtukufu wa ramadhani hapa nani ni stupid mimi au wewe ?..
Wewe una akili gani kijana ? Mbona unazidi kuonyesha ujinga wako ? Shida ni mapokeo au shida ni kuujua ukweli na kuufata ? Lazima nikuonejinga sababu hujishughulishi na elimu na hutaki kuujua ukweli.
Matabaka unayaleta wewe kwa kuleta uafrika na uzu gu, kama hili nalo huliono kwako, hunajafikia kiwango cha kujadili hii mada.
Kingine, hapa hujaonyeshwa chuki, bali sisi hatupendi ujinga na hatuwapendi watu WAJINGA. Nimekupa stahiki yako.