ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Dah!🤣Good morning kipenzi
Good morning to you too
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!🤣Good morning kipenzi
Nimekustua?!! 😂😂😂Dah!🤣
Good morning to you too
Tokea nione neno 'best' basi hii ya leo haijanishtua.Nimekustua?!! 😂😂😂
Umefurahi?
Huna maalifa yoyote na maandiko ya MUNGU. Haya maswali ni ya mtu wa elimu chini ya chekechea kabisaaaa.Kuna wanao sema yesu ni Mungu, vipi alipo kufa msalabani dunia ili baki na nani?.
kwanini aseme baba iki kupendeza niokoe na kikombe hiki?, ko ali kuwa ana jikejeli?
Duh! The last time I stepped my feet to church ilikuwa ni mwaka 2013. Baada ya hapo ilikuwa bai bai.Nimepiga hesabu nikaona dini ni urithi mmoja wa ajabu sana, ninaamini Mungu yupo ila nita mwabudu nje ya hilo box.
Yaani unazaliwa na kukabidhiwa kitu usichokielewa au kupewa nafasi ya kuchagua.
Na hizi dini ndio zimetengeneza viumbe wenye hulka ya mazombie au vampire, ambao wao kazi yao ni kufata wasemayo viongozi au maandishi wasiyoelewa asili yake.
Mara mtu ampige au amtukane mwenzie kisa dini, yaani unajiona bora kisa dini tena utasikia wewe huendi mbinguni!.
Kuanzia Leo nina Imani na sio dini nisizozielewa.
Yeah ni kawaida kua hivo, wengine wanakubali wengine wanakataa. Labda tungeuliza wadau kuna watu wawiki humu jf nakumbuka kua washasema waliwahi kuconvert to judaism.Ila najua most of them don't, growing up nlikuwa na a white boy baba Jew mama Persian from Tehran aloooh wale watu wako na principles tofauti kabisa za maisha, aisee acha kabisa,
Achana na dini zimejaa wendawazimu mtafute Muumba.Nimepiga hesabu nikaona dini ni urithi mmoja wa ajabu sana, ninaamini Mungu yupo ila nita mwabudu nje ya hilo box.
Yaani unazaliwa na kukabidhiwa kitu usichokielewa au kupewa nafasi ya kuchagua.
Na hizi dini ndio zimetengeneza viumbe wenye hulka ya mazombie au vampire, ambao wao kazi yao ni kufata wasemayo viongozi au maandishi wasiyoelewa asili yake.
Mara mtu ampige au amtukane mwenzie kisa dini, yaani unajiona bora kisa dini tena utasikia wewe huendi mbinguni!.
Kuanzia Leo nina Imani na sio dini nisizozielewa.
Leo nimekupandisha cheo. Hivi kwani ukinirudishia kuna shida gani?Tokea nione neno 'best' basi hii ya leo haijanishtua.
Nimefurahi ndio
Mvua zilinyesha na mazao yakaota kwasababu ilikuwa msimu wakembona wali omba mvua zika nyesha, mazao yaka ota, eti Leo una ambiwa wewe huendi mbinguni 😂 😂
Tofauti ya elimu na dini, elimu ina facts and some evidence supports. Dini one the otherside doesnt, ina require pure imaniKama ni hivyo basi ; elimu ni utapeli , pesa , vyama vya siasa , mfumo wa kuzaana maana unaweza kuzaliwa ukajikuta kweny familia ya kimaskini automatically mpaka ukakua ukawa hivyo na bado unalazimishwa kupambana . Unapambana nn?
Biashara unazofundisha hazina uhalisia hata wewe hauna mafanikio ,kiufupi kila mtu anavutia kwake ..Short and clear dunia haina maana kama hamna uwepo wa dini.
Kukurudishia nini?Leo nimekupandisha cheo. Hivi kwani ukinirudishia kuna shida gani?
Imani haina logic, havitokaa vikae sawaHongera sana! Umekuwa binadamu kamili.
Binadamu lazima uwe rational. Moja ya kitu watu wengi wenye imani wanapishana nacho ni Logic.
Nimepiga hesabu nikaona dini ni urithi mmoja wa ajabu sana, ninaamini Mungu yupo ila nita mwabudu nje ya hilo box.
Yaani unazaliwa na kukabidhiwa kitu usichokielewa au kupewa nafasi ya kuchagua.
Na hizi dini ndio zimetengeneza viumbe wenye hulka ya mazombie au vampire, ambao wao kazi yao ni kufata wasemayo viongozi au maandishi wasiyoelewa asili yake.
Mara mtu ampige au amtukane mwenzie kisa dini, yaani unajiona bora kisa dini tena utasikia wewe huendi mbinguni!.
Kuanzia Leo nina Imani na sio dini nisizozielewa.
Hongera sana! Umekuwa binadamu kamili.
Binadamu lazima uwe rational. Moja ya kitu watu wengi wenye imani wanapishana nacho ni Logic.
Imla inasaidia nini, mbona ume launch personal attack, kwanini usije na hoja za msingi za kupinga alichokisema, jamaa ana logic, unazaliwa na watu wakristo why does that makes you a Christian automatically vip kama ukristo haufai na Islam ndio din ya ukweli au unazaliwa na na Islam unakuwa Muislam automatic vipi kama Islam haufai din ya ukweli ukristo ? Kwanini anaekuzaa wewe akuingize kwenye din ya uwongo kama kweli hizi dini moja wapo ya uwongo? Kwanini dini tu iwe daraja la kumfikia MUNGU, ? Usilete reference ya kwenye Bible wala Qur'an hivi vitabu wazungu wakikaa wakavisuka vizuri tu ili kumanipulate watu weusi.
Umeleta ujanja ujanja wa ki mantiki - logical fallacy
Watu walikuwepo kabla ya dini.
Dini ni tokeo la watu waliokuwa wanafikiria.
Ndio maana wakakuelezea jinsi motoni na peponi kutaksvyo kuwa.
Tatizo watu wameacha kufikiri na kutumia maandiko ya waliofikiri kuwa ukweli Mtakatifu