Dini imekuwa mfumo kama ilivyo mifumo
Mingine ya kijamii ,chama nk,kabla ya dini hapo nyuma kulikuwa na namna ya wazee wetu kuabudu na kushughulika na mambo yao ya kijamiii kama namna ya kusaidia watu na kujumuika katika nyanja mbalimbali kama misiba ,harusi na magonjwq na mifumo yote hiyo ya kale imekufa dini imechukua nafasi
Ndio inahusika na matatizo ya watu shughuri zote za kijamiii kama harusi ,misiba nk
Unapoachana na dini sio kosa ila unajiweka nje ya mfumo ambao tayari ile ya asili ilishakufa
Ndio shida inaanzia hapo sikuizi hata kupata sehemu ya mtu kuzikq nje ya mfumo wa dini ni kazi sana wanmiliki viwanja vya kusikia pamoja na waombolezaji ,wanamiliki mifumo yote ya kuoa na kuolewa nk iyo jipange vizuri ikiwa unajiweka nje ya mfumo huu