Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
-
- #21
Niko naangalia taarifa naona naigeria watu walio kula nje, wame kamatwa na polisi.Kubaguana ni dhahiri
Lakini hauwazi kuwa kila jumapili unaenda kuomba toba mbele ya mifuko miwili ya cement iliyochanganywa na kokoto
Mkuu nime ielewa vyema, kitambo nilisha acha mambo za kanisa au msikiti.Mh! hebu soma upya reply yako
kila siku wabongo wanafunguka akili
Naam, hivi kabla ya Ukoloni hatu kuwa na dini zetu?.kila siku wabongo wanafunguka akili
Aisee Ngoma nzito🤣😂Lakini hauwazi kuwa kila jumapili unaenda kuomba toba mbele ya mifuko miwili ya cement iliyochanganywa na kokoto
View attachment 3258492
Kuna shida sana huko nigeria. huku bongoland muda kama huu watu wote tupo kwenye futariNiko naangalia taarifa naona naigeria watu walio kula nje, wame kamatwa na polisi.
kumbe kula nayo ni kosa kisheria?, ati fulani hapendi ukila ?
Unamuamini Mungu yupi na unahakikishaje yupo kweli?Nime piga hesabu nika ona dini ni urithi mmoja wa ajabu sana, nina amini Mungu yupo ila nita mwabudu nje ya hilo box.
yaani una zaliwa na kukabidhiwa kitu usicho kielewa au kupewa nafasi ya kuchagua.
na hizi dini ndio zime tengeneza viumbe wenye hulka ya mazombie au vampire, ambao wao kazi yao ni kufata wasemayo viongozi au maandishi wasiyo elewa asili yake.
Mara mtu ampige au amtukane mwenzie kisa dini, yaani una jiona bora kisa dini tena uta sikia wewe huendi mbinguni!.
Kuanzia Leo nina Imani na sio dini nisizo zielewa.
Mkuu hizi dini ambazo walio tuletea Wana chinjana na kuruhusu mambo ya upinde?
..Short and clear dunia haina maana kama hamna uwepo wa dini.
Anayeamini aamini asiyeamini asiamini!Kumbe dini ni mechi za mashindano?, haya yupi mahindi muislamu, Muhindu, au msabato?
Mi naona kama ulichelewa sana kuamka ilitakiwa nikuchape fimbo walau tatu zakuchelewa!..Mkuu nime ielewa vyema, kitambo nilisha acha mambo za kanisa au msikiti.
mimi niki jisikia naibuka popote, Kikubwa uhai na amani ndani yangu.
Urithi ni kitu kilichotoka kwa watu mnaoshare damu moja au ndugu. Wewe aliyeku-rithisha dini ni nani yako?Mkuu, hata elimu ni urithi tuliokabidhiwa, na kama elimu umeipenda, lazima uielewe.
Kwa mkutadha huo, hata dini ni urithi ila hujaielewa kwa kuwa hujaipenda.
Maisha mema huko uendako.
Hiyo siyo definition ya urithi, kasome tena kijana.Urithi ni kitu kilichotoka kwa watu mnaoshare damu moja au ndugh. Wewe aliyeku-rithisha dini nani?
Kikubwa tuishi na tutende mema.Anayeamini aamini asiyeamini asiamini!
Na ndio hiyo naishikilia.Dini haimpeleki mtu pepon/mbinguni,,, ! Bali ni imani, ishi nayo hii code