fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
makushabu in fleek
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la Waafrika na hasa WaTz ni kutokuyaamini mawazo au fikira za wenzao Waafrika,hivi kweli kabisa mtu unaamini dini ya kizungu au kiarabu itakupeleka mbinguni ambako ni angani hakuna ukomo wa anga na haohao wazungu ndiyo walikufundisha kuwa dunia ni duara na imezungukwa na maji na hewa huku ikielea hewani,je unaakili wewe unayeamini ktk uislam na ukristo??Yaani unaongelea kukataa kushikwa akili na dini yet huwezi kutengeneza maana zako mwenyewe ku-support misimamo yako? Bado umelala wewe.
Hakuna shetani bali wewe ndiyo utakuwa shetani utakapo tenda mambo mabaya dhidi ya wanajamii wanaokuzunguka"Natangaza vita dhidi ya shetan" shetan uyo kakufanyia nn au ndo kumuonea tu😂😂
Muulize yeye mungu wake anaitwa nani?Mungu
Muulize yeye mungu wake anaitwa nani?Mungu
Hakuna shetani bali wewe ndiyo utakuwa shetani utakapo tenda mambo mabaya dhidi ya wanajamii wanaokuzunguk
Vp umekula Leo¿Hakuna shetani bali wewe ndiyo utakuwa shetani utakapo tenda mambo mabaya dhidi ya wanajamii wanaokuzunguka
Unatambua maama na asili ya U-Islam au umekaririshwa tu?Hakuna sehemu ambayo tumekataa msihoji mambo ya dini, bali ni jambo ambalo limehimizwa sana, sababu tumepewa uhuru tangu pale tulipoumbwa na tukapewa na akili na miongozo.
Shida yenu hamuhojo bali mnahitimisha juu ya mambo msiyo yajua, na kuleta ujuaji. Hakikisheni mnayo ya kanusha muwe mnayajua vizuri, na mkihoji muhoji mambo ya maana sio mnaleta ujuaji. Hili ndio hatulitaki.
Uzuri elimu inasafiri na kuthirishwa, kama Leo hii UISLAMU umefika kwetu huna sababu ya kuandika hiki unachokiandika.
Bila dini Kuna uhalisia ulio halisi wa asili. Jiulize nyuki anatengeneza asali ana dini au amefundishwa? Je, mchwa amefundishwa kujenga nyumba yake? Buibui amefundishwa kutengeneza utando wake? Ndege kama shorwe amefundishwa kujenga kiota chake?Bila dini kuna nini?
Ndiyo , kwa sababu ipo mifumo mingine inajitegemea ... Ukisema tamaduni basi ni kila dini ina tamaduni zake .Saaafi kwahiyo dini sio lazima iwe Islamic na Christian?
Utamaduni upi huo ? Wakati tamaduni zimepotea kitambo tu ,leo hii hata elimu ya kabila lako unaijua ?Usichanganye Utamaduni na dini.
Utamaduni bado upo na haujapotezwa.
Ila waumini wa Ukristo na Uislamu ndio wanalazimika kuacha tamaduni za kiafrika na kuchukua tamaduni za wazungu/waarabu.
Ila utamaduni ni utamaduni na dini ni dini, ninyi ndio mnao changanya hivi vitu.
Kila jamii Ina utamaduni ila sio lazima dini iwepo.
Anayesema tamaduni zimepotea basi hajui nini maana ya utamaduni.Utamaduni upi huo ? Wakati tamaduni zimepotea kitambo tu ,leo hii hata elimu ya kabila lako unaijua ?
Unasoma tamaduni za wazungu mpaka wale Hadazabe unawaona wachafu ...Hakuna mila ya mwafrika imebaki unless kwa jamii kama wamasai na Hadzabe .
Mimi sifuati tamaduni wala kwetu hakuna anayefuata. Sijui hta salamu ya kabila langu.Anayesema tamaduni zimepotea basi hajui nini maana ya utamaduni.
Kwenu ni wapi?Mimi sifuati tamaduni wala kwetu hakuna anayefuata. Sijui hta salamu ya kabila langu.
Soma jina langu linajieleza.Kwenu ni wapi?
Mbaya zaidi wanachukua na kuharibu bongo za watoto wadogo,kuwa tia hofu na kuwaaminisha ujinga..nashauri dini zigundishwe mtu akishakua mtu mzima awe na uwezo wa kuhoji na kuelewa dhana halisi.Nimepiga hesabu nikaona dini ni urithi mmoja wa ajabu sana, ninaamini Mungu yupo ila nita mwabudu nje ya hilo box.
Yaani unazaliwa na kukabidhiwa kitu usichokielewa au kupewa nafasi ya kuchagua.
Na hizi dini ndio zimetengeneza viumbe wenye hulka ya mazombie au vampire, ambao wao kazi yao ni kufata wasemayo viongozi au maandishi wasiyoelewa asili yake.
Mara mtu ampige au amtukane mwenzie kisa dini, yaani unajiona bora kisa dini tena utasikia wewe huendi mbinguni!.
Kuanzia Leo nina Imani na sio dini nisizozielewa.
Basi utamaduni unao.Soma jina langu linajieleza.
Sahihi kabisa, yaani mtoto haelewi ila ana kazaniwa nenda kanisani au msikitini aisee.Mbaya zaidi wanachukua na kuharibu bongo za watoto wadogo,kuwa tia hofu na kuwaaminisha ujinga..nashauri dini zigundishwe mtu akishakua mtu mzima awe na uwezo wa kuhoji na kuelewa dhana halisi.
Uisharamu ndio tatzo kubwa.
sahihi kabisa.Bila dini Kuna uhalisia ulio halisi wa asili. Jiulize nyuki anatengeneza asali ana dini au amefundishwa? Je, mchwa amefundishwa kujenga nyumba yake? Buibui amefundishwa kutengeneza utando wake? Ndege kama shorwe amefundishwa kujenga kiota chake?
Kwanini wewe na mimi tufundishwe kuhusu dini tunapozaliwa?
Dini imewekwa kwa ajili ya kunufaisha watawala/Elites.
Ukijiuliza maswali utapata majibu
arifu mi nauza skanka, hiyo makushabu situmiimakushabu in fleek