Nimeamua kubadili dini na kuwa mkristo. Yesu ni Mungu na wayahudi ni wateule wake

Huwa ana vita na akina Maghayo ๐Ÿ˜ƒ
Adriz ana ID 7.
Wale wavuta bangi na Mirungi kutoka Maghayo wana ID 22. ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š

Hii ya leo ni ID ya 23.

Ila kuna ile ID ya Adriz ilikuwa inakuja kujibu mashambulizi kama haya kwa Kupiga mabomu ya ballistic missile ila Siion sikuhizi.

Inaitwa Busu la Kenge. ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
 
KAZI HAMNA

MNA TRAUMA ZA KURUBUNIWA

MNA STRESS

HAMNA CHA MAANA CHA KUFANYA

ila hasira mnameletea cohen,

Mna badilisha IDs

Mna peana mipira ya kutukana mtu hewa digitali

๐Ÿ˜

I enjoy this, mimi pamoja na mama ako'n wa senegal
 
Utasikia yoote mkuu๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Wanadhani sasa eti utaumia

Digital shit kabisa uuumiie๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Kwahiyo ww na secretarybird haya makundi yote mawili ya uhalifu hapa JF hampatani nayo?.

Kundi la kwanza linaloongozwa na Ayatolah Adriz na parody zake na kund la pili kiongoz wake yuko mafichoni ila ni Maghayo family.๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
 
All in all dini zote wanufaika ni wale waliotuletea waarabu na wazungu. Imagine kwenda kuhji tu mpaka uwe na dolla kadhaa huku wakristo nao wakikamuliwa sadaka kila uchao. Kikubwa fuata imani ya asili yako
 
Hahahah

Ndugu

Nashangaa mtu kabisa anahemuka kama dada poa wa pale sinza hakaoni condoms zake ๐Ÿ˜

Watu wanatafuta vita vya JF akiwa nyuma ya keyboard hawajui labda unaweza kurreply huku dada yake uko nae๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Ila jF
 
Tuko sana tu mtu wangu.
 
Shetani akimbiwi kwa kubadili dini kwa sababu shetani yupo hata kwenye ukristo....kwani nani kakuambia kuwa pasipo uislamu duniani shetani hayupo ?...kuna tofauti gani kati ya muhuni mwamposa na mudi boy ...wewe ndiyo akili za wale wapumbavu wanao tafuta kanisa la kweli katika madhehebu ...najua kuwa umeleta uzi kufanya dhihaka ila kuna elimu nimeona nikupe ...mwizi muislamu na mwizi mkristo wote ni wezi tu ..mambo ya mungu wa kweli msingi wake ni UTAKATIFU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ