Nimeamua kujilipua kwenye kilimo, nimeandaa shamba la heka tatu za tikiti na nimepanda

Kaka ugumu wa Kilimo ni soko pekee, Japo kuna vijichangamoto vichache ila kuu ndo hili, Unakuta tikiti mteja anakuja shambani anataka kununua kwa bei ya jumla ya 800-1,500. na wewe Target uuze kwa 2500-3500. Na hao wanaokuja wanachukua tikiti 150-300 na wewe una tikiti 7000-12000.

Sasa hapo ndo unakuja kuta ni Kwanini Jakaya Kikwete nae juzi kati aliiomba Serikali itusaidie wakulima katika kutafuta soko, Japo kaja kuliona baada ya yeye kuja kuwa mkulima wa nanasi.
 
Ni kweli kabisa. Ila matamanio ya wengi ni kujua kama ataweza kufika kadirio la 28m au 16m. Na uwingi na ubora wa tikiti lake ndio kitu cha msingi kujifunza hasa kutokana na njia alizotumia ili mtu mwingine amtumie kma ROLE MODEL pale inapotakikana.
 
Nyie mwazania hiyo M 26 katika kilimo cha heka 3 ni rahisi kihivyo????

Mbaya zaidi hayo mazao ni ya Chakula (Perishable), Hayatoboi wiki mbili toka yavunwe.

KWA UJUMLA WEKE ilivyo madalali ndo wanufaika wakubwa sana na kilimo. Amini usiamin.
 
whatsapp://send?text=*Nafasi mpya za kazi zinapatikana. Ingia* Jikwamue! *kuangalia. Pia usisahau kujiunga kwa SMS ili upate ujumbe kila nafasi mpya inapotoka. Kujiunga ni bure!* *TAFADHARI SHARE IWAFIKIE NA WENGINE*
 
Nyie mwazania hiyo M 26 katika kilimo cha heka 3 ni rahisi kihivyo????

Mbaya zaidi hayo mazao ni ya Chakula (Perishable), Hayatoboi wiki mbili toka yavunwe.

KWA UJUMLA WEKE ilivyo madalali ndo wanufaika wakubwa sana na kilimo. Amini usiamin.
Ndo maana watu wanademand mrejesho
 
Mpaka JK? Duuh kweli viongozi wa Afrika akili huwarudia wakishaondoka madarakani
 
Ruvu nalima mpunga
W/Kilindi nalima maharage,mahindi,alizet na viazi mviringo
Vipi miundombinu ya umwagiliaji ipo au ya kutengeneza huko mashamban? wanakodisha kwa kiasi gani huko ? Naomba niku PM
 
we wa matiki peleka temeke kauze...utapata pesa nyingi kulko kuuzia shambani....FANYA VILE NAKWAMBIA...maana nmefanya biashara hyo sana
 
Kuna soko zuri Sirari. Umesema kiwanda gani huchukua tikiti?
 
we wa matiki peleka temeke kauze...utapata pesa nyingi kulko kuuzia shambani....FANYA VILE NAKWAMBIA...maana nmefanya biashara hyo sana
ok, Sasa utaratibu wa kupeleka mzigo temeke inakuaje? Je unaemtu unamjua hapo Temeke??
 
Mkuu elnyas twaweza kupata Mrejesho wa hii Project??
 
well said mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…