Nimeamua kujitoa CHADEMA rasmi kutokana na Mdude, najuta kumchangia

huyu kijana kakosea sana yapaswa aombe msamaha kwa kutenda kosa lake

huyu Rais mamaSSH hana maneno machafu kabisa kumtamkia maneno machafu ni kutomtendea haki
Asikari wetu akipiga risasi tatu akakukosa huyo sio asikari wetu

Kuna mtu anasema eti kapigwa risasi na askari wetu Huyo ni muongo na anachafua askari wetu.

Hii sio kauli mbaya je angekaa kimya bila kuongelea hii issue angepungukiwa na nini? Rais sio malaika na yeye ni sehemu ya mfumo mbovu uliopo!!!
 
Tumia muda mwingi kumuabudu Mungu na sio binadamu kama unavyofanya
 
tuambie, ni tusi gani alilotukana?
 
Mkuu ungetupa uthibitisho ni lini uliingia CDM na sasa umeamua kutoka.

Anyway Mdude asamehewe bure na apimwe akili huenda hayupo sawa Upstarirs
 
Akitukana magufuli au kheri james unakuwa uzarendo

Hapo ndo unajua mwenye busara na kichwa nazi nani! Haina maana mtu akikutukana na wewe umtukane!

Ukikutana na kichaa anatukana kwa sababu anatukana na wewe unaanza kutukana. Wenye busara wanamwacha kichaa aende zake au wampeleke mirembe au watumie njia mbadala kumnyamazisha na siyo kuendelea kutukanana mnakuwa Taifa la machizi!!

Kwa hiyo wenye busara ndani ya chadema wamfunde Mdude namna ya kuongea siyo kuongea upambavu!! Atoa hoja ili zionekane hoja zina uzito gani wa kukubaliwa au kukataliwa!

However, tunahitaji katiba mpya kwa Taifa letu!! Katiba tuliyo nayo imechoka sana kwa kizazi tulichopo!!
 
Ni jambo gani unalohitaji liwepo kwemye katiba mpya?
 
Pumbavu! mbona hukujitoa ccm akina Kheri James walipokuwa Wana harisha utumbo
 
Basi kamfufueni magufuli mmfunde na kheri James kwanza ndiyo mje kuongea
 
Mbona hamkumkemea JIWE na genge lake la UV-CCM?
 
Mataga mmepata heekima baada ya magufuli kufa?
Kauli ya mdude ni ya kawaida Sana kwa mwanasiasa
 
Siasa za sasa hivi hazina mvuto kabisa,hebu eti fikiria Halima Mdee & Bulaya kwa sasa wanatakiwa kutoa matamshi ya kumkera basha wao wa zamani bwana Mbowe
 
Sasa chuki zote hizo za nini?
chuki kwa nani!!!

au nayeye kamropokea samia vile sababu anamchukia!!!
lakini kwake mnaita kuwasilisha maoni ila wengine ni chuki!!!

nyie watu aisee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…