Una tatizo la akili naanza kuhisi utakuwa chizi, ila kwa upeo wako mdogo na wajinga wenzio unajiona "genious"
Thread zako nyingi unatafuta umaarufu kwa kuwadanganya wajinga, unaandika mambo mengi ambayo huna uhakika nayo, unajaza assumptions, umbea kuwasema watu personally, huna lolote la maana.
Unapodai kwa sababu Simba SC imeshindwa kumsajili Manzoki ndio unaropoka hovyo bila hapo ndipo nathibitisha una tatizo la akili, wewe ni pure mental, anaejielewa hatakiwi kuhangaishwa nawe.
Halafu unaposema hao wajumbe wa FCC walihongwa na Mo, una ushahidi? kama unao tuwekee hapa tuone, au nenda mahakamani.
Unadai Mo anajifaidisha binafsi kuliko Simba SC inavyofaidi, tuambie how? Simba SC imewahi kukosa nini chini ya umiliki wa Mo mpaka usema inanyonywa?
- Imewahi kushindwa kusajili mchezaji yeyote kwa kuzidiwa pesa na timu yoyote hapa ndani?
- Imewahi kukosa mishahara ya wachezaji hata mara moja?
- Imewahi kushindwa kusafiri kwenda popote kucheza mechi zake?
Wewe popoma unaiona bil. 20 nyingi hujiulizi mpaka leo Simba SC imefanikiwa kimataifa imeshatumia kiasi gani?
una mihemko ya kitoto ila unajiona mjanja!
Kuhusu Bilioni 20 wewe na wajinga wenzio mwanzo mlikuja na cheki feki, mkaona hiyo single hailipi, sasa mnapiga kelele hazipo, kama mnaamini hazipo nendeni mahakamani mkamshtaki Mo kwa udanganyifu mtapatia majibu huko, msiwachoshe akili werevu.