Nimeamua Kukisanua: Mo Dewji hajaweka Tsh Bilioni 20 Simba SC, ila ameshapata Faida Robo ya hiyo Pesa tokea aichukue Timu

Nimeamua Kukisanua: Mo Dewji hajaweka Tsh Bilioni 20 Simba SC, ila ameshapata Faida Robo ya hiyo Pesa tokea aichukue Timu

Una tatizo la akili naanza kuhisi utakuwa chizi, ila kwa upeo wako mdogo na wajinga wenzio unajiona "genious"

Thread zako nyingi unatafuta umaarufu kwa kuwadanganya wajinga, unaandika mambo mengi ambayo huna uhakika nayo, unajaza assumptions, umbea kuwasema watu personally, huna lolote la maana.

Unapodai kwa sababu Simba SC imeshindwa kumsajili Manzoki ndio unaropoka hovyo bila hapo ndipo nathibitisha una tatizo la akili, wewe ni pure mental, anaejielewa hatakiwi kuhangaishwa nawe.

Halafu unaposema hao wajumbe wa FCC walihongwa na Mo, una ushahidi? kama unao tuwekee hapa tuone, au nenda mahakamani.

Unadai Mo anajifaidisha binafsi kuliko Simba SC inavyofaidi, tuambie how? Simba SC imewahi kukosa nini chini ya umiliki wa Mo mpaka usema inanyonywa?

- Imewahi kushindwa kusajili mchezaji yeyote kwa kuzidiwa pesa na timu yoyote hapa ndani?

- Imewahi kukosa mishahara ya wachezaji hata mara moja?

- Imewahi kushindwa kusafiri kwenda popote kucheza mechi zake?

Wewe popoma unaiona bil. 20 nyingi hujiulizi mpaka leo Simba SC imefanikiwa kimataifa imeshatumia kiasi gani?
una mihemko ya kitoto ila unajiona mjanja!

Kuhusu Bilioni 20 wewe na wajinga wenzio mwanzo mlikuja na cheki feki, mkaona hiyo single hailipi, sasa mnapiga kelele hazipo, kama mnaamini hazipo nendeni mahakamani mkamshtaki Mo kwa udanganyifu mtapatia majibu huko, msiwachoshe akili werevu.
Asante sana kwa kuandika maneno konki yenye maana.
 
Wewe naye pia ni mjiga tu ukweli uko wazi timu za Simba na Yanga zote zinashida kubwa tu kwenye uongozi simsupport mtoa Uzi Ila ukweli zinashida huitaji PhD kulijua hili
Hata kuna watu pia wanaona familia yako ina shida ya uongozi

Maana yangu ni nini hakuna aliekamilika na mapungufu ya uongozi ya MO au Babra hayafanyi aonekane hafai.
 
Ni ishara ya kukosa kazi jobles
Ni kweli Jobless kwakuwa hata Hela yangu ya Kula na Matumizi mengine hata kupata Bando la Mimi kuwa hapa Mtandaoni 24/7 huwa napata Kwako Wewe mwenye Ajira ya Kupumuliwa hovyo Kibaikolojia.
 
Hakuna Tsh Bilioni 20 za Mwekezaji Mo Dewji alizoweka Simba SC na kama kuna mwana Simba SC anajua atuambie ameweka Benki ipi na Akaunti gani.

Ninachojua ni kwamba Mo Dewji ( Mwekezaji ) wa Simba SC anadhamini Products zake bure kwa Mgongo wa Simba SC na kaamua pia kumvuta Dada yake karibu na Simba SC ili aratibu vizuri Upigaji na Wamefanikiwa kwa 75% kwani hivi sasa Klabu ya Simba inamfaidisha zaidi Kibiashara Mo Dewji kuliko yenyewe inavyofaidika na Mo Dewji.

Watendaji wa FCC, Baraza la Michezo ( BMT ) na Mamlaka ya Kodi 'walihongwa' ili Kukamilisha ule Usanii wa ile 'Dummy Cheque' ya Tsh Bilioni 20 Ili tu Mashabiki wa Simba SC ( Mambumbumbu FC Original ) tuaminishwe, tutulie na Samjo Samjo ( Mo Dewji ) aendelee 'Kutupiga' na 'Anatupiga' kweli kweli Mhindi huyu.

Si mmejifanya Kutudanganya wana Simba SC juu ya Usajili wa Mshambuliaji ninayemhitaji zaidi Simba SC Manzoki na kunifanya Nikeshe leo kama Popo? Mtanitambua naendelea tu 'Kuwaanikeni' Alfajiri hii.
Hiyo mishahara+sajili+huduma mbalimbali za klabu pesa zote hizo unatoa wewe ndo mana una haki ya kudai b20 alizoahidi Mo
 
Hata kuna watu pia wanaona familia yako ina shida ya uongozi

Maana yangu ni nini hakuna aliekamilika na mapungufu ya uongozi ya MO au Babra hayafanyi aonekane hafai.
Hakuna sehemu nimetaja familia yako jikite kwenye mada nimesema timu zote zinashida shida iko wapi
 
Hakuna sehemu nimetaja familia yako jikite kwenye mada nimesema timu zote zinashida shida iko wapi
Na mm sijataja familia yako kwa nia mbaya samahani kwa hlo

Ila nilikuwa natolea mfano tu kwamba hata sisi katika familia zetu kuna watu wanatuona tuna mapungufu katika usimamizi wetu

Hata huko ulaya walippendelea tatzo la uongozi katika klabu hutokea sana tu

Mfano Man u mara nyingi washabiki hawauelewi uongozi wao.
 
Hakuna Tsh Bilioni 20 za Mwekezaji Mo Dewji alizoweka Simba SC na kama kuna mwana Simba SC anajua atuambie ameweka Benki ipi na Akaunti gani.

Ninachojua ni kwamba Mo Dewji ( Mwekezaji ) wa Simba SC anadhamini Products zake bure kwa Mgongo wa Simba SC na kaamua pia kumvuta Dada yake karibu na Simba SC ili aratibu vizuri Upigaji na Wamefanikiwa kwa 75% kwani hivi sasa Klabu ya Simba inamfaidisha zaidi Kibiashara Mo Dewji kuliko yenyewe inavyofaidika na Mo Dewji.

Watendaji wa FCC, Baraza la Michezo ( BMT ) na Mamlaka ya Kodi 'walihongwa' ili Kukamilisha ule Usanii wa ile 'Dummy Cheque' ya Tsh Bilioni 20 Ili tu Mashabiki wa Simba SC ( Mambumbumbu FC Original ) tuaminishwe, tutulie na Samjo Samjo ( Mo Dewji ) aendelee 'Kutupiga' na 'Anatupiga' kweli kweli Mhindi huyu.

Si mmejifanya Kutudanganya wana Simba SC juu ya Usajili wa Mshambuliaji ninayemhitaji zaidi Simba SC Manzoki na kunifanya Nikeshe leo kama Popo? Mtanitambua naendelea tu 'Kuwaanikeni' Alfajiri hii.
Zama za uzi huu kuendelea kurefuka umefika.
Haya uzi amka,
 
Back
Top Bottom