Nimeamua Kukisanua: Mo Dewji hajaweka Tsh Bilioni 20 Simba SC, ila ameshapata Faida Robo ya hiyo Pesa tokea aichukue Timu

Leo wenzio watakupopoa mpaka basi
 
Huu ujinga unaujaza kwenye server ya JF.

Sina akili ndogo ya kumuonea wivu popoma wa JF na followers wake 115 alionao, hapa ni nguvu ya hoja tu, sio mihemko ya kutunga kama yako.
 
Ww huna faida wala hasara yoyote uwepo wako Simba au kutokuwepo
 
Huu ujinga unaujaza kwenye server ya JF.

Sina akili ndogo ya kumuonea wivu popoma wa JF na followers wake 115 alionao, hapa ni nguvu ya hoja tu, sio mihemko ya kutunga kama yako.
Tokea ujiunge JF una hata Follower Mmoja tu? Great Thinkers wa JamiiForums hawana muda wa Kukufolo 'damn Fool' Wewe ila Wananifolo Mimi GENTAMYCINE because I'm 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' sawa?

Sasa kama mpaka Rais Mstaafu Kikwete, Rais Samia, Wabunge, wana Habari, Wanazuoni ( Wanataaluma ), Mabalozi kama Dk. Wilbroad Slaa, Mawaziri kama Dk. Nchemba na Wakuu wa Mikoa na Wilaya Kutwa Wananisoma' na Wananifolo GENTAMYCINE hapa JamiiForums kwanini nisiwe this ( that ) Popular?

Huna Akili.
 
Ww huna faida wala hasara yoyote uwepo wako Simba au kutokuwepo
Nisingekuwa na Faida Simba SC yako nisingetumika na Uongozi wako kufanya Umafia dhidi ya Wachezaji wa Yanga SC akina Tshishimbi, Yondan na Juma Abdul ili wachukue Hela Walegeze na tuwafunge zile Goli 4 kwa 1.

Niendelee au niishie hapa tu kwa sasa?
 
Kadi ya uanachama mara ya mwisho kulipia ilikuwa lini?

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Chama ulimsajili ww
Miquosoni ulimsajili ww
Bila mo simba isingekuwa na thamani kama ya sasa ww na kigangwala hamna hela hata za kumlipa muhilu mishahara ya miezi miwili ila maneno mengi nyie ni mamluki tu kama mamluki wengine.
 
Inabidi moderater waweke kiwango cha uzi kwa siku maana huu ni utoto.
 
Eti umafia !!!!!!we endelea kula ugali wa shemejio na bando unalomuba dada yako kima ww
Nisingekuwa na Faida Simba SC yako nisingetumika na Uongozi wako kufanya Umafia dhidi ya Wachezaji wa Yanga SC akina Tshishimbi, Yondan na Juma Abdul ili wachukue Hela Walegeze na tuwafunge zile Goli 4 kwa 1.

Niendelee au niishie hapa tu kwa sasa?
 
Naunga mkono huyu lazima dishi limeyumba au ana tatizo la saikolojia
 
Kwastailye ya anayoleta... bado kidogo ataanza kuokota makopo! tumwombee bange mbaya sana
 
Ulivyoona M-bet kawekeza 26b.... so now unaona Mo hafai et!
 
Ni ishara ya kukosa kazi jobles
 
Sema baba, wape vidonge vyao!

Na ole atokee mtu akutukune! Nipo Kwa msisi muda huu. Nitamgeuza mara moja kuwa kuku.
 
Gentamycine huna nguvu za dhakari kaa kimya,hamia Yanga ndumilakuwili wewe, Ameropoka manara na simba ipo seuze wewe popoma.
 
Itasikitisha sana endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...
 
Nimegundua gents wewe ni jinsia ya kike sikuzote nilikua n kidume [emoji3]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Leo nataka wazione Hasira za Mzanaki, Mtutsi na Mmakuwa MImi. Nachukia sana KUDANGANYWA na kufanywa Popoma ( Mpumbavu ) kama walivyo hawa ( wao ) na Watanitambua leo Kudadadeki zao.
Kama unahasira kweli tuonyeshe tako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…