Nimeamua Kukisanua: Mo Dewji hajaweka Tsh Bilioni 20 Simba SC, ila ameshapata Faida Robo ya hiyo Pesa tokea aichukue Timu

Asante sana kwa kuandika maneno konki yenye maana.
 
Wewe naye pia ni mjiga tu ukweli uko wazi timu za Simba na Yanga zote zinashida kubwa tu kwenye uongozi simsupport mtoa Uzi Ila ukweli zinashida huitaji PhD kulijua hili
Hata kuna watu pia wanaona familia yako ina shida ya uongozi

Maana yangu ni nini hakuna aliekamilika na mapungufu ya uongozi ya MO au Babra hayafanyi aonekane hafai.
 
Ni ishara ya kukosa kazi jobles
Ni kweli Jobless kwakuwa hata Hela yangu ya Kula na Matumizi mengine hata kupata Bando la Mimi kuwa hapa Mtandaoni 24/7 huwa napata Kwako Wewe mwenye Ajira ya Kupumuliwa hovyo Kibaikolojia.
 
Hiyo mishahara+sajili+huduma mbalimbali za klabu pesa zote hizo unatoa wewe ndo mana una haki ya kudai b20 alizoahidi Mo
 
Hata kuna watu pia wanaona familia yako ina shida ya uongozi

Maana yangu ni nini hakuna aliekamilika na mapungufu ya uongozi ya MO au Babra hayafanyi aonekane hafai.
Hakuna sehemu nimetaja familia yako jikite kwenye mada nimesema timu zote zinashida shida iko wapi
 
Hakuna sehemu nimetaja familia yako jikite kwenye mada nimesema timu zote zinashida shida iko wapi
Na mm sijataja familia yako kwa nia mbaya samahani kwa hlo

Ila nilikuwa natolea mfano tu kwamba hata sisi katika familia zetu kuna watu wanatuona tuna mapungufu katika usimamizi wetu

Hata huko ulaya walippendelea tatzo la uongozi katika klabu hutokea sana tu

Mfano Man u mara nyingi washabiki hawauelewi uongozi wao.
 
Zama za uzi huu kuendelea kurefuka umefika.
Haya uzi amka,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…