Nimeamua Kumshtaki Mahakamani Mke Wangu Siku 5 Baada ya Harusi

Ulitumia kitu gani kumpima kwamba ana 4 cm.

Bila shaka wakati unampima alipata maumivu.(kosa namba moja)

Je ulipata ridhaa yake kwa maandishi(Kosa namba mbili)

Na umekuja kumfanyia udhalilishaji huku mitandaoni(kosa namba tatu)

Una kesi ya kujibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…