Gautten Potten
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 1,642
- 3,426
Tuzoeen vijana wnNi
Nakumbuka sana Jf ya zamani. Kulikuwa na nyuzi nzuri sana za kuelimisha. Naomba Mello atukusanye wakongwe tuwe na Jf yetu. Ile Jf ilikuwa kisima cha maarifa unapata changamoto unakuja huku na unapewa ushauri aisee I really miss it.