Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
- Thread starter
- #21
Ahsante ndugu yanguMaamuzi mazuri sana haya kuelekea kujitegemea .
Kila la kheri brother
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante ndugu yanguMaamuzi mazuri sana haya kuelekea kujitegemea .
Kila la kheri brother
Hicho ndicho kitu huwa nikifikiria najilaumu sana kwenye nafsi yanguUngejua toka mwanzo broo,ila badonuna mda
Mimi nimeondoka home kitambo sana sina hata habari na mtuHicho ndicho kitu huwa nikifikiria najilaumu sana kwenye nafsi yangu
Natamani hata hiyo miaka yako nipewe mimi hakika nisingesubiliWewe ni kama mimi tu, tofauti ni miaka 6.
Ila nimeamua huu mwaka lazima niondoke hapa watake wasitake
Sawa mkuuBless up mzee
Nina kazi zangu za hapa na pale nicheki pm spirit yako nimeipenda
Amina brother nashukuru sana kwa kunitia moyoKila la heri brother.Mungu akufungulie njia huko mbeleni mkuu.
Naam mkuu hakuna kurudi nyumaTanganyika got independence
Ahsante ndugu yangu kwa kunitia moyo ubarikiweHujachelewa pambana kwa njia sahihi. Heri umeshtuka
Ngoja sukuma gang wakusikie utajuta🤣🤣 by the way nashukuru kwa kunitia moyo mkuuMiaka 32 ni mingi sana...pambana dogo langu...ila haya yote yamesababishwa na magu
Ahsante sana ndugu yangu ubarikiweAisee , age is nothing but a number huu mwaka acha ngono Uzinzi ili ujiwekee Focus zaidi na usikose kuitunza Afya yako.
kila la kheri
Nitafanya hivo mkuu ahsanteTafuta kazi hata viwandani ujishikize unipe kodi
Thank you bro!Stay out of your comfort zone
See you at the top
Nimekuelewa kaka nitafanya hivoAlooo hama kabisa umri huo ni wa kujitegemea kabisa ,ukitoka hapo amini akili ya maisha itafunguka..umri huo sio wa kugongea kaka na shemeji akupe dawa ya meno uswaki..
Habari za muda wakuu jana niliomba ushauri kuhusu kuhama kwa kaka yangu.
Kiukweli najilaumu sana kuchelewa kuanza maisha kwa sababu ya kusubili ahadi za ndugu toka nikiwa na miaka 23 nimekuwa nikiahidiwa msaada na mbaya zaidi mimi ndio nilikuwa nipo nyumbani na mama huko mkoani, Nimekuwa pale kwa miaka mingi huku ndugu zangu wakiwa dar.
Kila wakija walikuwa ni watu wa kuniahidi kunisaidia jambo ambalo limenifanya kubweteka.
Nimeishi hapo mpaka pale kaka yangu alipokuja kunichukua mwishoni mwa 2019 yeye pia baada ya kunileta ajajitoa kwa dhati kwa ajili ya kunipa msingi bora japo uwezo wake kifedha c haba na kaajili watu wengi ila mimi amekuwa akiniunganisha kwenye kazi za kuangaika sana mpaka sasa sina maendeleo yoyote nafsi inaniuma sana maana nimechelewa sana kuanza kujitegemea now nina miaka 32 kiukweli naona aibu kuendelea kubaki hapa kwa bro.
Sina msingi wala mtaji ila niluchoamua from now nikuuza simu yangu na kwenda kupanga mengine yatajulikana mbele ya safari najua ni uamuzi mgumu lakini nimeamua kwa moyo wa dhati kwenda kujitegemea.
Nimechelewa sana nafsi inaniuma mno sina furaha kwakweli ila nilichoamua ndicho hicho. Na hakuna kurudisha mpira kwa kipa naenda kuhastle kiukweli.
Naombeni baraka zenu ndugu zangu.
Hapana kaka naona nikihama jumla itanipa spirit zaidi ya kupambana maana kudaiwa kodi lazima akili ichangamkeWana wa Israel waliianza safari kwa Imani miujiza ndo ikafuata, nenda kafanikiwe sana mwana kwetu, ila sasa, kwa nini unaanza na kuhama? Hatua ya kwanza ni ku hustle kutwa na kurudi tu kulala kwa bro, waondoka giza, warudi giza, utengeneze msingi kwanza
Sawa kaka nashukuru kwa kunitia moyoHapo sasa ndio umekua na akili. Nao walikupuuza sababu waliona huna akili unategemea za kwao. Hapo hata kukusaidia wanaweza
Hapana kaka naona nikihama jumla itanipa spirit zaidi ya kupambana maana kudaiwa kodi lazima akili ichangamke
Kaka naamini mungu atanisimamia wacha tu nichukue haya maamuzi ni ngumu lakini naamini nitawezaUnaharibu, una sababu nyingi sana za kuwa na hiyo spirit, sio kwenda kujifesa, haya maisha sio mepesi. Bila mkakati utarudi kwa aibu.
Nitanunua kiswaswadu mkuuUnaharibu, una sababu nyingi sana za kuwa na hiyo spirit, sio kwenda kujifesa, haya maisha sio mepesi. Bila mkakati utarudi kwa aibu.
Unauzaje simu uende kupanga? Huo ni wendawazimu, simu ni ya muhimu sana kwenye harakati zako za mahangaiko.