Nimeamua kupaki gari nitumie usafiri wa umma

Jambo la msingi sana, maisha nikuchange na mazingira, mambo yakikaa sawa unaweza rudi na ratiba zako kama awali
 
Aiseee hapo sasa kuna uongo mwingi
 
Kuna tatizo kubwa la watanzania wengi kutokubaliana na ukweli wa hali zao. Mtu anajikamua na kununua gari bila kujali kuwa gari linahitaji pesa liweze kutumika. Kama una kipato cha chini ya 26m kwa mwaka achana na mambo ya gari. Sio level yako.
Tatizo la wabongo wananunua mashangingi badala ya kununua magari simple ya kuweza kuhudumia ,alafu ukiwa njiani pakia vi abiria upate Hela za mafuta
 
Unachukua mawazo ya Ulimwengu kama ndio hali halisi. Kuna gari nyingi na watu wana matumizi tofauti kuna watu fuel bill yao kwa mwezi haizidi 400,000/- sasa huyu nae atahitaji 6m salary?
Ulimwengu ni mzee kashapita stages nyingi he is out of touch.
Kama mshahara wako gross ni pungufu ya mil 6 ni hasara kupanda private car Dar. Hakikisha kipato chako Kwa mwezi ni mill 6 either mshahara, au mshahara na madeal mengine.
 
Mzee Naishi Italian Na IST nikizama kituoni nazoa watu 1,000@4 =4,000/= Mpaka Lami….Naoza tena 2,000@4=8,000/= mpka Gomz gomz nazoa 2,000@4= 8,000/= mpka Mnazi mmooja Almost 21,000/= Lita Saba IST consumption Liter 1 km 18 cha kufia nini hela ya mshahara ni kwaajili ya Service tu at the end of the month 🚶🏻‍♂️
 
wanao kaa mbagala, gongo la mboto na chanika wanafanya kazi posta na masaki japo wanalipa nauli lakini garama ya hiyo nauli kwa siku ni sawa na wanao miliki magari tu....nauli kwa mwezi laki4 mshahara laki7
ingia kituoni kufa na watu beba watu 2,000/= hutajuta
 
Mzee Naishi Italian Na IST nikizama kituoni nazoa watu 1,000@4 =4,000/= Mpaka Lami….Naoza tena 2,000@4=8,000/= mpka Gomz gomz nazoa 2,000@4= 8,000/= mpka Mnazi mmooja Almost 21,000/= Lita Saba IST consumption Liter 1 km 18 cha kufia nini hela ya mshahara ni kwaajili ya Service tu at the end of the month 🚶🏻‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…